Nilipanga kumuoa Januari, nimeahirisha

Nilipanga kumuoa Januari, nimeahirisha

Nilikutana na mdada wa chuo cha biashara CBE. Kipindi hicho nami nilikuwa nafanya degree yangu ya pili pale Mzumbe. Tulipendana sana, nilisafri mkoani kikazi.
Tuliwasiliana kila siku ila kuna siku moja nilipata sms toka kwa mwanaume ikidai nimuache mpenzi wake akimaanisha yule mpenzi wangu. Juzi nimerudi safari mpenzi wangu alinipokea vyema na kwa furaha.
Cha ajabu chini ya kapeti chumbani nimekuta kondomu 3 zilizotumika takribani siku kama 2 nyuma. nimemuuliza mpenzi wangu amesema nae hajui zimefikaje chumbani kwetu.
Nifanye nini ndugu zangu ila binafsi nimeamua nimuache huenda nitapata mwingine.

SMS uliyopata pamoja na hizo condom bado hujajumlisha na kupata jibu? Bado una Masters - uli develop proposal, ikapita, ikawa na objectives, research questions, methods, findings na conclusion. Lakini hili limekushinda hadi ulete hapa?
 
Masters hata Nape Nnauye anayo, wasomi wa Tanzania ndio vichwa maji kuliko darasa la 7.

Kiongozi, kondom chini ya carpet zimetumika siku mbili zimepita.... hiyo picha umeionaje hapo?

cc. Kongosho, Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Pole mwaya ila ulitegemea nini kukaa mbali out of sight out of mind usijali mange ataanza kuwauzia madildo myatumie msiwe na sababu ya michepuko hahaha madildo oyeeere saa ya ukombozi ni sasa lols

thanks! but kumbe kusafiri miezi 6 ni halali kusalitiana?
 
Nilikutana na mdada wa chuo cha biashara CBE. Kipindi hicho nami nilikuwa nafanya degree yangu ya pili pale Mzumbe. Tulipendana sana, nilisafri mkoani kikazi.
Tuliwasiliana kila siku ila kuna siku moja nilipata sms toka kwa mwanaume ikidai nimuache mpenzi wake akimaanisha yule mpenzi wangu. Juzi nimerudi safari mpenzi wangu alinipokea vyema na kwa furaha.
Cha ajabu chini ya kapeti chumbani nimekuta kondomu 3 zilizotumika takribani siku kama 2 nyuma. nimemuuliza mpenzi wangu amesema nae hajui zimefikaje chumbani kwetu.
Nifanye nini ndugu zangu ila binafsi nimeamua nimuache huenda nitapata mwingine.

chumbani kwenu au kwake?
Usikopesekopese!
 
ila na huyo mwanamke inaonekana jamaa anachapa kitu mpaka kumbu kumbu zinaruka kabisa kiasi cha kuacha condom zilizotumiki chini ni tatizo kwa kweli

Hahaaaaaaa yan mi nmecheka sana...pia nkamuonea huruma mtendwa
 
condom "chini" ya carpet?!!!..au labda kuna kitu sijaelewa?..yaani alifunua carpet akaweka condom halafu akafunika?
 
SMS uliyopata pamoja na hizo condom bado hujajumlisha na kupata jibu? Bado una Masters - uli develop proposal, ikapita, ikawa na objectives, research questions, methods, findings na conclusion. Lakini hili limekushinda hadi ulete hapa?[/QUOT

ni kweli mkuu lakini kumbuka mapenzi na elimu ni vitu viwili tofauti! ni dhahili kuwa mapenzi hayana phd but elimu ina phd, unahitaji kufanya maamzi sahihi kwa kila kitu
 
Hahaaaaaaa yan mi nmecheka sana...pia nkamuonea huruma mtendwa

Yaani hapa hata mimi kiswahili kimeniacha, sijuwi mtendewa, au mtendwandwa, aiseee huyu jamaaa na hii mastazi yake sijuwi hata!
 
condom "chini" ya carpet?!!!..au labda kuna kitu sijaelewa?..yaani alifunua carpet akaweka condom halafu akafunika?

yes condom chini ya kapeti... alifunua akaitupia pale, nadhani alisahau kuitoa
 
Nilikutana na mdada wa chuo cha biashara CBE. Kipindi hicho nami nilikuwa nafanya degree yangu ya pili pale Mzumbe. Tulipendana sana, nilisafri mkoani kikazi.
Tuliwasiliana kila siku ila kuna siku moja nilipata sms toka kwa mwanaume ikidai nimuache mpenzi wake akimaanisha yule mpenzi wangu. Juzi nimerudi safari mpenzi wangu alinipokea vyema na kwa furaha.
Cha ajabu chini ya kapeti chumbani nimekuta kondomu 3 zilizotumika takribani siku kama 2 nyuma. nimemuuliza mpenzi wangu amesema nae hajui zimefikaje chumbani kwetu.
Nifanye nini ndugu zangu ila binafsi nimeamua nimuache huenda nitapata mwingine.
CYBERTEQ ahhha si ndo hii dah hapa hakuna.ushaur ushaona.kitu used ni sawa na kuona manyoya halaf unauliza yule kuku kaliwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom