Nilipanga kumuoa Januari, nimeahirisha

Nilipanga kumuoa Januari, nimeahirisha

Angalau anaijali afya yako, katumia kinga...mshukuru Mungu kwa hilo, hayo mengine utaamua wewe. Siku hizi kumpata wa peke yako sio rahisi sana.
 
condom "chini" ya carpet?!!!..au labda kuna kitu sijaelewa?..yaani alifunua carpet akaweka condom halafu akafunika?

zile stlye za chini nadhani waliangushana chini wakawa wanafanya sasa ili wasione wakatupia chini ya kapet huku wakiendelea baadae wakasahahu
 
Na ushahidi juu bado wataka ushauri Fanya maamuzi magumu hapo mkuu.
 
Nilikutana na mdada wa chuo cha biashara CBE. Kipindi hicho nami nilikuwa nafanya degree yangu ya pili pale Mzumbe. Tulipendana sana, nilisafri mkoani kikazi.
Tuliwasiliana kila siku ila kuna siku moja nilipata sms toka kwa mwanaume ikidai nimuache mpenzi wake akimaanisha yule mpenzi wangu. Juzi nimerudi safari mpenzi wangu alinipokea vyema na kwa furaha.
Cha ajabu chini ya kapeti chumbani nimekuta kondomu 3 zilizotumika takribani siku kama 2 nyuma. nimemuuliza mpenzi wangu amesema nae hajui zimefikaje chumbani kwetu.
Nifanye nini ndugu zangu ila binafsi nimeamua nimuache huenda nitapata mwingine.

Na hutakaa upate like hata moja!


Join Date : 6th August 2014
Posts : 8
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0
 
CYBERTEQ ahhha si ndo hii dah hapa hakuna.ushaur ushaona.kitu used ni sawa na kuona manyoya halaf unauliza yule kuku kaliwa

hahahaa, sasa wewe ndiyo unamuuwa kabisa mwenzio si umpe matumaini kidogo, dada alishasema hajui zilifikaje, huenda kuna mdogo wake alimwacha getoni akapigia vya fastafasta!
 
Mimi hata nikinusa harufu tu nakuacha sembuse kondomu hapo unaenda tena na bastola juu
 
Si ashukuru mungu kukuta na condom....je angekuta zmemwagiwa kitandan angefanyaje??

angefua yani kakutana na madude ya mwanaume menzie h mpaka nimesisismka alafu yashaanza kuharibika
 
Back
Top Bottom