Ewaaa....
Damu ya Yesu itufunike kila Mshana akitaka kuturoga aone taswira yake mwenyewe.... Mungu wewe ni Mkuu, naomba utulinde na babu yangu, tufiche kwenye mbawa zako mfalme wa amani.... Katika jina la Yesu naomba na kuamini Aaaaammmeenn
Gerezani kuna hadi bangi we unashangaa uwepo wa simu...
Fuatilia tu huu uz atatoa jibu kamili hapa.Sasa sijui alikua anataka watu wamuoneje .....muuaji, mchawi sijui nabii
Hivi kumbe mwenye mamlaka ya kufuta kesi ni mlalamikaji?Imepita miaka mitano sasa lakini bado nakumbuka hili tukio
Ilikuwa ni mchana mmoja siku ya ijumaa nilikwenda bar ya Igongwe pale Mwenge karibu na vinyago kupata lunch
Kufika pale nikahudumiwa na binti mgeni hata wa kuhudumia, ndani ya nususaa alikuwa keshaniambia historia yake yote lakini wakati huohuo akiwa keshagonga safari 3,
Nilibaki pale mpaka saa kumi muda aliosema anatoka huku nikiwa nimeshamaliza mzinga wa konyagi... Alikuwa kanihoji na mimi kama ni mwenyeji mitaa ile nikamdanganya nikamwambia mimi mgeni
Baada ya hapo tukaondoka kuelekea Cafe la Tino si mbali sana kutoka pale
Cha ajabu na cha kushangaza kufika pale akajifanya amelewa na mimi ni mpenzi wake.. Mbele za rafiki zangu akawapa cheo cha mashemeji
Kugundua hili nikaamua kumtelekeza kiaina.... Lakini loh kufika tu kwenye gari huyo naye kafika
Nikamkatalia kupanda lakini timbwili alilofanya pale aliishia polisi mabatini
Pale Cafe la Tino alidai ana mimba yangu halafu najifanya kumtoroka, hiyo mimba atalea na nani? Duu![]()
![]()
.... Siku hiyo nilikuwa nimeingia cha shoga wallah
Kwa hasira nikamwambia kama kweli una mimba yangu mimi nitakufa ila kama hata kama unasema uongo na hatufahamiani kabisa basi utakufa!
Alikaa mahabusu Ijumaa ile mpaka jumatatu nilipoenda kufuta kesi... Alifariki ijumaa ya wiki ile aliyotoka selo! Alilala getho la Igogwe akiwa mzima.. The next day jumamosi ilikuwa zamu yake kufanya usafi, wenzake walipojaribu kumuamsha alikuwa wa juzi![]()
![]()
..... Nilipata habari kwa meneja na nikatoa mchango wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
wacha kutisha watu mzee!Nimekumbuka hili tukio kuna mtu kanikera leo nikataka kumwambia utakufa ila nikasita
Sent using Jamii Forums mobile app
kiki hizo!Mkuu sishangai, Yuko Boss wangu mmoja akikwambia kitu lazima kitokee, akikwambia huyu atavunja hiki, basi kinavunjika, akikwambia huyu ataleta madhara haya kwenye kazi lazima itokee..
Na mwenyewe anasemaga msinikere, Mimi na mdomo mbaya!
mtajie wote wanaotunyima amani nchi hii usiogopeNaomba umwambie naniriyuu afe profile lipamba basi ili chama chetu kiwe salama
Samsung SH 8 Mobile Traveller

Sasahivi hana hiyo nguvu tena usimwogope tehInabidi nikate mazoea kabisa hata siwezi ku quotes nyuzi zako tusije tukagombana bure.
Taratibu my dearNimekumbuka hili tukio kuna mtu kanikera leo nikataka kumwambia utakufa ila nikasita
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana tafadhali siko hivyo kabisa trust meDuh..Mkuu mshana unatutisha humu?
Maana utafanya watu wakuogope zaidi ya kawaida
Iko hivi baada ya kutokea lile timbwili simu ilipigwa kituo kidogo cha Mwenge wakaja askari wa patrol na defender, wakajaribu kumtuliza lakini akawa kiburi na kuwaporomoshea matusi mazito kabisa.. Kwahiyo akabebwa huku sisi tukidrive,