Mtolee tamko huyo mkuu.
Haoa tulipobomolewaAisee nenda pale Kimara utapata dili la watu kibao wanaotaka utamke mtu fulani afe
Basi tusamehe mkuumshanamkuu. post: 23906500 said:Hapana kabisa nina mdomo mbaya
Nina ombi kutoka kwako Brother Mshana Jr, kama unaweza kutueleza namna mtu anavyo chukuliwa Msukule katika Mkoa wa Tanga.
Sorry for late reply... Karibia mikoa yote wanafanana fanana na mara nyingi wanatumia sana nyayo kivuli na mgombaNina ombi kutoka kwako Brother Mshana Jr, kama unaweza kutueleza namna mtu anavyo chukuliwa Msukule katika Mkoa wa Tanga.
Nimeomba hivyo kwani natambua na kuamini kila Mkoa Waganga/Wachawi wana namna katika mbinu na Madawa kufikia Lengo.
Natanguliza Shukurani Mshana Jr, nikiwa na imani kubwa ombi langu utalifanyia kazi.
Samahani kwa kuingilia/kuchanganya mada..!
Ameen!Utabarikiwa maisha yako yote