Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,073
- 859,141
- Thread starter
- #161
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]We jamaa una mikwala ya hatari...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]We jamaa una mikwala ya hatari...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora uamkie mapema kabla hujaambiwa utakufa...
Khaa Asprin sijakusahau weye kipindi najiunga JF! Ulinipelekesha MNO [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Mi kwa usalama wangu, kila post ya mshana jr naiogongea LIKE asiye akanichenjia bure
[emoji15] [emoji3] [emoji378] jibapa na mdogo wakeHuyo mtu alipokukera na Leo ulikua ushakunywa konyagi mkuu?
Coicedence huwaponza wengiKwa Uzoefu wangu..ANAYEKWAMBIYA NAKUROGA huwa HAKUROGI ..utarogwa na USIYEMJUWA...siku zote EPUKA KUMNYOOSHEA MTU KIDOLE..KWAMBA Utaona..JUWA....kuna wabaya wake Pembeni....wanasubiri wapate PAKUJIFICHIA...PENGINE wako waliomuumiza.....sio wewe MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji124] [emoji124] [emoji102] [emoji124]Hahaha
Nimecheka mnoo ujue... Kaka Mshana mambo gani ya kutishana jamanii.... Maisha yenyewe magumu hivi twafa wenyewe Kakangu
[emoji102] [emoji102] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kama ipo tuuu mdogo wangukaka angu mshana jr acha banah kuwatisha, utasababisha dada zako tudode majumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana siwezi sina roho mbaya kiasi hichoDuhhhh shikamoo kaka mshana aiseeee maisha magumu ya magu ila ngoja nipite usije nitamkia namimi duh
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza niseme wazi wazi kwamba siwezi kukujibu vibaya! Pili siwezi kuguarantee kama kifo chake kilitokana na matamshi yangu ... Mimi siko hivyoNaomba nikuulize mshana ukijibu vizuri itakuwa vema ila usipo nijibu bas huna budi kufuta huu Uzi sio lazima lakini.Unahisi ni kwa nn alikufa? Ni baada ya ww kumwambia vile au?
Sent using Iphone 7+
Ohooo... ishaanza kula kwangu...Khaa Asprin sijakusahau weye kipindi najiunga JF! Ulinipelekesha MNO [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwakweliMshana jr, Kwanini ukipandisha hasira unapenda kutamka neno utakufa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio vizuri kaka kuwatisha watoto wa Mungu ujue...
Marahaba mwaya [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji87]Sio vizuri kaka kuwatisha watoto wa Mungu ujue...
Shikamoo
Usiwe unachukia haraka bhanaa... Hasa Ukimuona babu Asprin, we msamehe tuu ni uzee...Marahaba mwaya [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app