Nilimwambia atakufa akafa kweli

Nilimwambia atakufa akafa kweli

Iko hv Mshana kwanza ulikosea sana kumtamkia mtu kifo kwani hakimu wa haki wa mambo yetu yote yawe mazuri au maovu ni Mungu tu. Ndo maana sisi wakristo tuliomwamini Mungu kupitia kazi ya msalaba Mungu anasema kisasi ni juu yake.
Lkn inakupasa ujue kuwa Mungu anasema hafurahii kufa kwake mtu mwovu heri atùbu na kuacha njia yake mbaya. Hvyo Mungu anavuta subira watu wamwamini si matamanio yake wanadamu wapotee japo watapotea kwa kutokuamini kwao.

Hvyo basi ukimtamkia mwenzako mabaya usijedhani eti kwavile ww Mkristo basi ni Mungu ametenda ila ni Adui ametake advantage ya mashambulizi yako kwa mwingine anatakeleza hasa pale ambapo amiyenenewa hana maarifa ya kucounter attack maneno hayo.

So pls tuwe makini tusitumie kauli zetu vby. Ww mwenyewe hapo umethibitisha. Sitarajii ulifurahia kufa kwake yule dada na kama ulifurahia aiseeèeeeee!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ya msalaba ni uongo mkubwa. Hakuna kitu kama hicho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakristo hawana Mungu mmoja. Wana Miungu watatu! Udanganyifu mkubwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Anzisha mada yako. Hapa tunachangia uzi wa Mshana jifunza kutembea kwenye mstari basi. U andandia uzi wa mwenzako kutufunsisha imani potofu za kutiamini Mungu?
Nenda hadharani kajipambanue tukujue wote kuwa ww huamini Mungu karushe mambo yako kule sio kuja kuharibu uzi wa mwenzako kwa kuleta mada nyingi e

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya fumba macho tuanze sala...
ad8687_8fced70d859b4bf5a573d976dd0b083e~mv2.webp
Lakini kwanini unatumia picha zangu humu?
Afu bora afe naniliu wewe ubaki.
Maana utaacha wajane wengi mno.
 
muombee na jamaa basi tuone

my game,my rules
 
Anzisha mada yako. Hapa tunachangia uzi wa Mshana jifunza kutembea kwenye mstari basi. U andandia uzi wa mwenzako kutufunsisha imani potofu za kutiamini Mungu?
Nenda hadharani kajipambanue tukujue wote kuwa ww huamini Mungu karushe mambo yako kule sio kuja kuharibu uzi wa mwenzako kwa kuleta mada nyingi e

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ww ulicbomeka masuala ya msalaba hapa? Kwani usipeleke kule?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mshana una imani ya ajabu sana...yani story zako zote ni za kushtua tu...mara umwambie mtu atakufa,mara unauza kiti cha ushirikina,mara unafanya kazi monchwari,mara mafunzo ya nguvu za giza.....dah!!!
 
Hahahh Mkuu umekuwa nabii? Maandiko yanasema 'Utapata unachokihubiria'
All in all huyu ndugu alikuwa ana msongo wa mawazo kukung'ang'ania alikuwa anatafuta wepesi wa yanayomsumbua. Hope ulimsamehe kwa kukusemea uongo!
Tumefundishwa kusamehe kabla jua halijachwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom