Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,666
- 830,564
- Thread starter
- #21
Konyagi tu ndo somo pekee nimejifunza hapa,![]()
![]()
na safariKonyagi tu ndo somo pekee nimejifunza hapa,![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Konyagi tu ndo somo pekee nimejifunza hapa,![]()
![]()
na safariKonyagi tu ndo somo pekee nimejifunza hapa,![]()
![]()
Hahaha aisee hao watu imani yao ni haba sana, hebu niambie mimi, kufa nitakufa kweli ila sio kwa kuambiwa na Mshana
Pale mabatini polisi huyo dada alionyesha sinema ya bure kwa kuvua nguo zote ili tu asipelekwe mahabusu... Nakumbuka aliitwa afande Mwanaidi acha kabisa hicho kifaaWanaume yanawakutaga
Hapana mimi sio ziraili mtoa rohoAisee nenda pale Kimara utapata dili la watu kibao wanaotaka utamke mtu fulani afe
Mkuu hapa ninacheka yaani ndoa ya dakika 5 na mimba juuPale mabatini polisi huyo dada alionyesha sinema ya bure kwa kuvua nguo zote ili tu asipelekwe mahabusu... Nakumbuka aliitwa afande Mwanaidi acha kabisa hicho kifaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata fisimaji hana hiyo spidiMkuu hapa ninacheka yaani ndoa ya dakika 5 na mimba juu
Una nguvu katika matamshi yako...
Usiwe mkali sana.Nimekumbuka hili tukio kuna mtu kanikera leo nikataka kumwambia utakufa ila nikasita
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mwambie Bashite na Pombe, ili tuhepukane na hili timbwili, miaka 2 iliyobaki, tumeanza kuiona ni kama karne nzima. We are fucked up.Nimekumbuka hili tukio kuna mtu kanikera leo nikataka kumwambia utakufa ila nikasita
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo na like tuu nisije kumkwaza mshana bure yakanikuta yakunikuta...mh!!!
am so kind siko hivyo kabisa trust me 



