Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

Ushauri wangu kama ni marafiki mmeivana na hamnaga upuuzi wowote mwite mkae meza moja jieleze(aibu weka pembeni) naamini kama ni mtu mzimah anajielewa utapata hela yako
 
Laki na nusu mwanamke alishindwa rudisha miezi 8 mwisho wa siku nikamfata namkuta yupo na kanga moja na sio mke wa mtu
Kilichofata piga mambo mazito na mimba juu siku ilele baada ya mwaka mtoto kazaliwa mimi
 
Kila mtu mara demu hakopesheki, mara kula mbususu.
Wazee tusisahau kuna wanawake wengi hata nguo hutamani kumvua, yaani hakushawishi. Sasa mnajua mwanamke mwenyewe yupoje. Kama sio taste ya mtoa thread [emoji23][emoji23][emoji23]. Nakupenda bibi kizee sio.
Kwanini ukopeshe mwanamke asiye eleweka?
 
Back
Top Bottom