Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

Namkopesha tu. Ila sicheki ninapomdai, hata yeye anajua nadaiwa kweli.
Ata mshikaji wako anakurusha tu.
Naweza kuomba vyote mbususu na deni na vyote napewa.
Ni maamuzi yako tu.
 
Pole sana, hesabu maumivu hapo na ukiendelea kumdai sana atakuwashia pira.
Cha kufanya kipindi hiki hiki wakati bado ana hofu na deni(kabla hajalizoea), mdai sana na kila mda mpaka akulipe. Msumbue bila haya
 
me ndomana sipendi kumkopesha ela mtu wangu wa karibu najua tu hatanilipa na sina cha kumfanya
Kwa wanaume Huwa wanarudisha shida hii gender baadhi ya wanawake wachache akikopa ohoo ukimtafta anaanza kuongea lugha ya puani
 
Back
Top Bottom