Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue.

Kiwango cha pesa sitokitaja 😂, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku zinayoyoma. Tulikuwa tukisaidiana sana vitu mbalimbali ndio maana nilimuamini na hiyo pesa, kiufupi tulikuwa marafiki wa karibu kwa muda mrefu.

Nifanyeje?
Samehe.Katika hayo jitahidi usifanye mazoea na "demu" anayeishi "getho".Unaelewa sijui?
 
Kama ni mwezi wa 3 bado mapema sana kumhukumu kwamba anataka kukupa mbususu. ACHA MAWAZO POTOFU. Hata angekuwa mwanaume kwa huo muda ingewezakana bado hajalipa. Ila kama ulishawahi kumuomba mzigo nakushauri uendelee kuomba tu mzigo upunguze machungu kwasababu hautalipwa. Kuwa makini siku nyingine kwenye hela upande wa wanawake.
 
Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue.

Kiwango cha pesa sitokitaja 😂, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku zinayoyoma. Tulikuwa tukisaidiana sana vitu mbalimbali ndio maana nilimuamini na hiyo pesa, kiufupi tulikuwa marafiki wa karibu kwa muda mrefu.

Nifanyeje?
Ndiyo matatizo ya kutohudhuria vikao. Kwa taarifa tu ni kwamba mwanamke hakopeshwi
 
Kama ni mwezi wa 3 bado mapema sana kumhukumu kwamba anataka kukupa mbususu. ACHA MAWAZO POTOFU. Hata angekuwa mwanaume kwa huo muda ingewezakana bado hajalipa. Ila kama ulishawahi kumuomba mzigo nakushauri uendelee kuomba tu mzigo upunguze machungu kwasababu hautalipwa. Kuwa makini siku nyingine kwenye hela upande wa wanawake.
machungu hayatopungua kwa mbususu
 
Kwa kifupi hiyo demu hataweza kukulipa usipokula mzigo kungali mapema asipokulipa utajilaumu kwa nini hata haukuchakata mbususu yake
vitu vingine unajua ni rahisi kutype hapa jf ila real life ni ngum.....sasa imagine naanza kuchakataje mbususu 😂 wakati tuna urafiki wa karibia miaka 2 saivi. Eti nianze kumpanga 'kama hunilipi, nakut*mba'😂 unaona ni rahisirahisi tu......
 
Yeye mwenzako tayari kashawaza hivyo wewe ni kugusia kidogo. Na hauwezi kumfuata direct kwamba lile deni tumalizane kwenye mbususu. Tengeneza mazingira najua wewe kidume huwezi shindwa
 
Back
Top Bottom