Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue.

Kiwango cha pesa sitokitaja 😂, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku zinayoyoma. Tulikuwa tukisaidiana sana vitu mbalimbali ndio maana nilimuamini na hiyo pesa, kiufupi tulikuwa marafiki wa karibu kwa muda mrefu.

Nifanyeje?
Kamthombe tu basi..!!!
 
nimecheka sana 😂😅😅, muwe mnaandikishana basi
Watanzania wengi hatuna hiyo desturi kwanza ukimwambia mtu kuandikishana haumsikii tena anaona una refusha mambo mlolongo , kwanza wengine akina compressor mbovu utasikia hee mpaka tuandikishane unaona mi tapeli au basi acha kama hutaki kunisaidia
 
bora aseme niache kumsaidia kuliko kumpa na asinilipe
 
Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue.

Kiwango cha pesa sitokitaja 😂, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku zinayoyoma. Tulikuwa tukisaidiana sana vitu mbalimbali ndio maana nilimuamini na hiyo pesa, kiufupi tulikuwa marafiki wa karibu kwa muda mrefu.

Nifanyeje?
Report ya CAG inatanabaisha kuwa wadada waliotumiwa pesa hawakwenda kwa waliowatumia, huenda report imegusa lalamiko lako
 
IMG_7232.jpg
 
🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆
 
Back
Top Bottom