Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

vitu vingine unajua ni rahisi kutype hapa jf ila real life ni ngum.....sasa imagine naanza kuchakataje mbususu 😂 wakati tuna urafiki wa karibia miaka 2 saivi. Eti nianze kumpanga 'kama hunilipi, nakut*mba'😂 unaona ni rahisirahisi tu......
Hahahaha wewe kweli ni mtoto! Kiufupi wewe hiyo hela uwezi lipwa kamwe! Mbona rahisi sana kupata mbususu hiyo tena kwa huyo mliozoeana atakuamini kabisa! Sema upewe mbinu!

Kamwe upewi hiyo hela kama ukilipwa hiyo hela basi mimi nitakuongezea elfu therathini!
 
Na kama mwanamke hajamvutia jamaa inakuaje ale mbususu.
Kuna wanawake wengine ukikutana nao huwezi hata kumuangalia mara mbili sembuse kuwaza mbususu
 
Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue.

Kiwango cha pesa sitokitaja 😂, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku zinayoyoma. Tulikuwa tukisaidiana sana vitu mbalimbali ndio maana nilimuamini na hiyo pesa, kiufupi tulikuwa marafiki wa karibu kwa muda mrefu.

Nifanyeje?
Utalipwa kwa kupewa mbususu
 
Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue.

Kiwango cha pesa sitokitaja [emoji23], aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku zinayoyoma. Tulikuwa tukisaidiana sana vitu mbalimbali ndio maana nilimuamini na hiyo pesa, kiufupi tulikuwa marafiki wa karibu kwa muda mrefu.

Nifanyeje?
Kama kiwango Cha pesa hukitaji vingine umevitaja vya nini?
 
Back
Top Bottom