Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue.

Kiwango cha pesa sitokitaja 😂, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku zinayoyoma. Tulikuwa tukisaidiana sana vitu mbalimbali ndio maana nilimuamini na hiyo pesa, kiufupi tulikuwa marafiki wa karibu kwa muda mrefu.

Nifanyeje?
Hakuna kitu kina ua urafiki kama madeni
 
Unaanza vipi kumdai mwanamke pesa sasa. Mwanamke akopeshwi una mpa unasahau akirejesha SAwa asiporejesha sawa
 
Mwanamke yupo radhi akupe utamu na sio kukupa pesa hata awe anakunja milioni 10 kwa siku. Wao uamini katika kupewa na sio kutoa
 
Omba mzigo ujilipe. Mm mwanamke simkopeshi. Akija kwa gia ya kukopa huwa kwanza naiuliza nafai yange. Je, wewe nafsi unaweza kumpa hicho kiasi huyu binti? Kumpa sio kumkopesha. Nafsi ikikubali nampa. Akirudisha sawa asipo rudisha sawa
 
Unafanya kazi ya kanisa[emoji23]
 
Hawakopesheki kama vikoba 😅 , unajua mtu wa maana ila ukikopesha imeenda na maji ,kilichobaki usimpe au umpe kiwango unachoweza kusamehe mambo ,
 
Back
Top Bottom