Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 18,392
- 42,457
Nimesoma,Ila police si wamekula njama na huyo raia kutesa raia mwema... siwapendi kabisa yanaomba rushwa waziwazi....mkuu kwani si umesoma maelezo yake vizuriiii? yan mtu anaemfahamu ndo kaanza kumuundia zengwe