Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

Aiba

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
1,428
2,000
mkuu pole sana kwa kunusurika kubakwa ka si kufi... kiufupi mkuu ka nimeelewa vema ni kuwa mbaya wako ni huyo mtu wa TARURA ka si TANROAD, kutokana na sababu zenu ama ugomvi wenu kakuundia zengwe ukafikishwa sehemu ambayo ulifika.
Mie naona unastahiki kwanza kulalamikia aliyekutengenezea zengwe hilo

Nilitekwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo DSM kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho.​

hiyo kauli ni nzito sana, pia we hukutekwa ila ulikamatwa na kupelekwa kituo cha polisi. Acha chuki zako binafsi na polisi ama usitake kutuambukiza chuki yako dhidi ya watu wasio na hatia.
Ivi ulichoandika apoo umekisoma kweli au akili yako imejaa matope unajua wajibu wa polisi Kwa mtuumiwa ivi Sisi vijana tunakuwaje alafu ukute nawe ni muajiriwa sehemu unatoa haki Kwa watu aisee Mungu akusimamie
 
Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
9,981
2,000
Sitaandika yote kuficha kujulikana Kwasababu za usalama wangu na sitataja Kituo (mojawapo ya vituo vya police DSM) Kwasababu walio nifanyia hayo mateso, wapo na wanaendelea na utumishi wao kuumiza wa Tanzania.

Sitosahau mwaka 2021 mwezi March nilipokea simu ya mtu aliyejitambulisha kuwa ni mpemba ana kazi ya Ujenzi wa ghorofa nane anahitaji kuonana na mimi ili kunipa Sub-contract Kwasababu main contract wanatumia kampuni ya nje, tuliahidiana kukutana kesho yake DSM.

Siku ya pili saa 3:15 nilifika sehemu tuliyoahidiana, kukutana.
Nilikutana na watu wawili walijitambulisha kwangu kuwa mmoja ni Askari Polisi kutoka DODOMA amepata maelekezo kwa mkuu wa police Dodoma kuja kunikamata na mwingine (Bonge la mtu) alijitambulisha kuwa ni Afisa wa Mkubwa wa Usalama wa Taifa KUTOKA MAKAO MAKUU DODOMA kwa hiyo nipo chini ya ulinzi nisifurukute chochote la sivyo watanifumua ubongo na risasi.

Niliuliza kosa langu sikuambiwa ilikuwa ni vitisho tu niliomba vitambulisho wakanitisha wao ni maalumu hawana vitambulisho.

Walinipeleka mojawapo ya kituo cha Polisi kilicho karibu ambacho wengi wanaoshikiliwa katika hicho kituo wengi ni vibaka.

Nilikabidhiwa kwa mpelelezi akaniandika jina na kunisweka lockup bila hata kupokelewa mapokezi na nikaambiwa kuna mtu atanifuata ndiye ataniambia kosa langu.

Nilikaa lockup na vibaka hao (niliponea chupu kubakwa na nikawaahidi kuwapa hela ndio wakaniacha kidogo wanishughulikie, Polisi wao hawana muda)

Nilishinda njaa, mchana ulikwisha kiza kilianza na nilianza kuhisi, njaa Kali kila nilipoomba Askari vijana wanaoleta chakula cha wafungwa kuwa naomba kuongea nao walinitisha kunivunja vunja na kuniambia niangalie vibaka wenzangu walivyo vunjwa vunjwa. Nilijitahidi kuwaambia kuwa sijui kosa langu niliambua matusi na vitisho.

Usiku mwingi (sijui saa ngapi) kukadiria Kama saa 7. Niliitwa Mara moja sogea huku cha kunishangaza alikuwa ni polisi akiambatana na mtu ambaye ni (Achtect) MFANYAKAZI WA TARURA ambaye tumewahi kuwa na UGOMVI kwa kutompa RUSHWA aliyoniomba tangu 2019.

Nilimuuliza hivi Sheikh wewe ndiye umefanya mchongo wote huu kunitesa hivi akacheka kwa dharau na kuniambia hiyo hela (RUSHWA) umeshindwa kulipa, milioni Saba sasa utalipa milioni 20 la sivyo hao vibaka watakubaka humo.

Aliniuliza una milioni 20 kwenye gari nikuachie au niruhusu ushughulikiwe na hao vibaka, niliumia sana nilitamani geti lifunguliwe nimrukie nimtafune hata meno na aliniambia hivyo mbele ya Polisi.

Alinitisha atanisafirisha katika buti na kunipeleka Kigoma kituo chake cha kazi kama sina hela atanitupa ziwa Tanganyika au atatoa ruhusa nifungwe jela miaka 10.

Nilimuuliza wewe ni nani mpaka unitishe hivi?

Alijibu: hapo upo wapi? Mimi nina hela sina Sheria.

Ningependa niendelee ila Sina muda Kama nitapata mda nitamalizia kwa siku nyingine.

Jeshi la Polisi lijitafakari je ni kweli wanalinda Raia na Mali zao au ni watesi wa Raia na Mali zao.
Daah
Hivi umesoma kweli wewe?

Elimu yako kiwango gani,

Pole sana
 
nyangulo laizer

Senior Member
Mar 27, 2020
131
225
Nimeshangaa sana mkuu, mtu ana bargain asiliwe, imagine.

Yaani mwanaume unabembeleza watu wasikufire kweli? Si bora wakuua.

Yaani kitendo cha mwanaume mwenzako kuomba ama kutaka akufire hapo wmetangaza vita.

Mimi niko tayari kufungwa maisha ama hata kunyongwa kwa kuua mtu yoyote akikaribu tu kuzungumzia mk.undu wangu, kwanza anaanzia wapi kutaka anifire?
Akikupa hennessy akufire??Mana nasikia wapenda Sana kinywaji hicho kuna ka ukweli mkuu???
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
28,366
2,000
Sitaandika yote kuficha kujulikana Kwasababu za usalama wangu na sitataja Kituo (mojawapo ya vituo vya police DSM) Kwasababu walio nifanyia hayo mateso, wapo na wanaendelea na utumishi wao kuumiza wa Tanzania.

Sitosahau mwaka 2021 mwezi March nilipokea simu ya mtu aliyejitambulisha kuwa ni mpemba ana kazi ya Ujenzi wa ghorofa nane anahitaji kuonana na mimi ili kunipa Sub-contract Kwasababu main contract wanatumia kampuni ya nje, tuliahidiana kukutana kesho yake DSM.

Siku ya pili saa 3:15 nilifika sehemu tuliyoahidiana, kukutana.
Nilikutana na watu wawili walijitambulisha kwangu kuwa mmoja ni Askari Polisi kutoka DODOMA amepata maelekezo kwa mkuu wa police Dodoma kuja kunikamata na mwingine (Bonge la mtu) alijitambulisha kuwa ni Afisa wa Mkubwa wa Usalama wa Taifa KUTOKA MAKAO MAKUU DODOMA kwa hiyo nipo chini ya ulinzi nisifurukute chochote la sivyo watanifumua ubongo na risasi.

Niliuliza kosa langu sikuambiwa ilikuwa ni vitisho tu niliomba vitambulisho wakanitisha wao ni maalumu hawana vitambulisho.

Walinipeleka mojawapo ya kituo cha Polisi kilicho karibu ambacho wengi wanaoshikiliwa katika hicho kituo wengi ni vibaka.

Nilikabidhiwa kwa mpelelezi akaniandika jina na kunisweka lockup bila hata kupokelewa mapokezi na nikaambiwa kuna mtu atanifuata ndiye ataniambia kosa langu.

Nilikaa lockup na vibaka hao (niliponea chupu kubakwa na nikawaahidi kuwapa hela ndio wakaniacha kidogo wanishughulikie, Polisi wao hawana muda)

Nilishinda njaa, mchana ulikwisha kiza kilianza na nilianza kuhisi, njaa Kali kila nilipoomba Askari vijana wanaoleta chakula cha wafungwa kuwa naomba kuongea nao walinitisha kunivunja vunja na kuniambia niangalie vibaka wenzangu walivyo vunjwa vunjwa. Nilijitahidi kuwaambia kuwa sijui kosa langu niliambua matusi na vitisho.

Usiku mwingi (sijui saa ngapi) kukadiria Kama saa 7. Niliitwa Mara moja sogea huku cha kunishangaza alikuwa ni polisi akiambatana na mtu ambaye ni (Achtect) MFANYAKAZI WA TARURA ambaye tumewahi kuwa na UGOMVI kwa kutompa RUSHWA aliyoniomba tangu 2019.

Nilimuuliza hivi Sheikh wewe ndiye umefanya mchongo wote huu kunitesa hivi akacheka kwa dharau na kuniambia hiyo hela (RUSHWA) umeshindwa kulipa, milioni Saba sasa utalipa milioni 20 la sivyo hao vibaka watakubaka humo.

Aliniuliza una milioni 20 kwenye gari nikuachie au niruhusu ushughulikiwe na hao vibaka, niliumia sana nilitamani geti lifunguliwe nimrukie nimtafune hata meno na aliniambia hivyo mbele ya Polisi.

Alinitisha atanisafirisha katika buti na kunipeleka Kigoma kituo chake cha kazi kama sina hela atanitupa ziwa Tanganyika au atatoa ruhusa nifungwe jela miaka 10.

Nilimuuliza wewe ni nani mpaka unitishe hivi?

Alijibu: hapo upo wapi? Mimi nina hela sina Sheria.

Ningependa niendelee ila Sina muda Kama nitapata mda nitamalizia kwa siku nyingine.

Jeshi la Polisi lijitafakari je ni kweli wanalinda Raia na Mali zao au ni watesi wa Raia na Mali zao.
Hapo wewe huna tofauti na mtu aliyetekwa na majambazi wakadai. ‘Ransom’ toka kwako au la wakumalize, polisi wajitafakari upya. Ila pia, kama huyo jamaa yupo, mtumie majambazi a wewe wakamle kiboga, hivi why mnakuwa walegevu hivi?
 
Mr Devil

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
5,663
2,000
Eti nusu ubakwe, mwanaume unakubali kweli kwamba ilikua kidogo ubakwe. Kukuweka sawa, mwanaume habakwi, mwanaume anafirwa ama kulawitiwa mwanamke ndio anabakwa.

Mwanaume kitu ulichonacho cha thamani kuliko vyote na ambacho unatakiwa kukilinda hata kwa maisha yako ni marinda, huwezi kukubali mtu akutishie kwamba atakufira ama kukulawiti na wewe umchekee tu haijalishi uko mazingira gani.

Mwanaume hupaswi ku negotiate kuhusu kufirwa, hapo hakuna negotiations. Eti unaomba jamani naomba msinifire nitawapa hela, serious?

Anyway, Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta.
mwanzo nikazani mwandishi ni mwanamke maana nilkua sija elewa uku kubakwa tena ..kizembe ivyoo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom