Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

Pole Sana ilikuwa lini haya yalifanyika?
Kwani huyo jamaa wa tarura mulifanya makubaliano yoyote akakusaidia ukakataa kutimiza makubaliano ?
 
Kituo chochote cha Polisi Askari wote si wabaya, wasingekunyima mawasiliano. Mpaka leo upo kimya na rushwa imekwama kwanini usipande ngazi, Leo Makamu wa Rais kalilaumu Jeshi la POLISI kwanini usibishe hodi huko kuliko humu JF huyo jamaa wa Tarura sio Mungu ukimuacha atakurudia tu
Huyo kapelekwa hapo polisi wakiwa fully informed kwamba kuna mtu kama huyo ataletwa hapo!

Kuanzia Mkuu wa kituo ana taarifa za huyo jombi kuwa amezingua kipengele gani katika uraia huku. Kama mipunga ishatembea yani kituo chote kimewekwa mfukoni!

Polisi wanajua hizo case za utapeli na huwa wanatumikaga kuwabana tu watu ila kimsingi ni case ya mahakamani ambapo kama ni deal ina maana mtoa mada angekuwa yupo upande wa haki maana anaombwa rushwa.
 
Jamaa alitaka kuwarusha hela wahuni sema wakamuonesha kuwa wao ni watabe zaidi😅 unamrusha mtu hela mliokubaliana na kumpa kauli za kejeli eti fanya lolote unaloweza au nenda popote na kIsha kum block halafu unajiona mwamba!

Kuna watu wamenyongolota vibaya mno sio kupinda tu.
Yaaaani mleta mada mavi sana yaaaani, hawa ndio wanauliwa na kuwekwa kwenye viroba tunaanza kusingizia wasiojulikana. Tabia za Dhuluma ni mbaya sana, kisasi kisipolipwa leo hata kesho kitalipwa tu. Jamaaa anaweza kuja akapiga kiberiti nyumba yake akaingia hasara zaidi ya hiyo 20M pimbi sana huyu jamaaaa. Barabara wanajenga mbovu halafu bado hizo 10% nazo wanaibiana na kuteuletea shombo humu
 
Mimi sio muumini wa nguvu za giza ila

mungu atakusamehe tu, nakushauli nenda kwa mganga kwa kutumia gharama yoyote ile wale wote waliohusika na tendo hilo uwatupie vitu kwa sababu duniani hakuna haki mzee..
 
Huu ni uongo chai kabisa kituo Cha polisi lockup hazinaga utaratibu wa Nyapala na siyo rahisi kubakwa ukiwa kituoni
Nimekaa sana lockup za polisi mbovu mbovu tofauti tofauti zaid ya 7

Lockup zinakaguliwa mara kwa mara na mtuhumiwa akiwa mgonjwa anapelekwa hospital anapigwa pingu huku anaendelea na matibabu, kwahiyo hata Kupigana kule ndan ni kosa ni kesi juu ya kesi.

Yani bro watu wakwambie tunakulawiti we useme utawapa pesa na wakuache? Kule lockup uliingia na pesa? Na kama hujaungia nazo mlikubaliana mtapeana wapi hizo pesa Hadi wakakubali? Wakat polisi kila mtu anatoka kwa muda wake?
Je mawasiliano mlipeana ili mkutane huko nje? Hizo no za simu waliandika wapi?
 
Mkuu kwanza pole sana ila hii tuhuma imekaa kiupande upande .....
Hizi pesa aiseee na suala la kuwekana ndani....🙌...

Kuna mahala inawezekana ulitaka haki yako kiuhalali kabisa ila wao nao wana uhalali wao....
 
Huu ni uongo chai kabisa kituo Cha polisi lockup hazinaga utaratibu wa Nyapala na siyo rahisi kubakwa ukiwa kituoni
Nimekaa sana lockup za polisi mbovu mbovu tofauti tofauti zaid ya 7

Lockup zinakaguliwa mara kwa mara na mtuhumiwa akiwa mgonjwa anapelekwa hospital anapigwa pingu huku anaendelea na matibabu, kwahiyo hata Kupigana kule ndan ni kosa ni kesi juu ya kesi.

Yani bro watu wakwambie tunakulawiti we useme utawapa pesa na wakuache? Kule lockup uliingia na pesa? Na kama hujaungia nazo mlikubaliana mtapeana wapi hizo pesa Hadi wakakubali? Wakat polisi kila mtu anatoka kwa muda wake?
Je mawasiliano mlipeana ili mkutane huko nje? Hizo no za simu waliandika wapi?
Tofauti na wewe uliyepelekwa kwa makosa yaliyo wazi na taratibu zikafuatwa Huyu anajua kwann aliingia hapo na taratibu hazikufatwa ila hajasema kila kitu. Inaonekana ana maadui na alipelekwa hapo kibabe kumkomesha.

Alivyoingia alijua kabisa hii ni setup ya maadui zake na hawa wamelipwa ndo maana akaanza kuomba kuwa atatoa pesa maana alijua aliyempeleka tayari katumia pesa na hapo kitakachomuokoa ni pesa.

Alivyokutana na mbaya wake ikathibitika kuwa ilikuwa ni operation maalum na wale hawajamwingilia sababu waliagizwa wamtishe kwanza.
 
Siku hizi nimeanza kuwachukia polisi kinyama,Kuna chalii yangu nae Ni polisi nimeanzaa kumkataa mdogo mdogo
 
Trust me..!
Basi, usiseme sana manake hadi naogopa!! Nikianza na "ujasiri" wa huyo jamaa wa TARURA hadi anafikia kuomba rushwa na kuidai waziwazi kiasi hicho na "ujasiri" wa polisi wa kutumia taasisi zao kabisa kukamilisha uhalifu waziwazi kiasi hicho!

Ngoja nitulie kwanza!!
 
Najaribu kufikiria hii style dah..... afu mwamba ndo anakupulizia kaupepo hivi kwa mtindo kama anapiga uluzi! Watù wabaaya!
Ni hatari sana mkuu.

Ukishalegezwa kwa ngumi za chembe na marungu ya miguuni huna ujanja tena.

Balaa sana.
 
Huu ni uongo chai kabisa kituo Cha polisi lockup hazinaga utaratibu wa Nyapala na siyo rahisi kubakwa ukiwa kituoni
Nimekaa sana lockup za polisi mbovu mbovu tofauti tofauti zaid ya 7

Lockup zinakaguliwa mara kwa mara na mtuhumiwa akiwa mgonjwa anapelekwa hospital anapigwa pingu huku anaendelea na matibabu, kwahiyo hata Kupigana kule ndan ni kosa ni kesi juu ya kesi.

Yani bro watu wakwambie tunakulawiti we useme utawapa pesa na wakuache? Kule lockup uliingia na pesa? Na kama hujaungia nazo mlikubaliana mtapeana wapi hizo pesa Hadi wakakubali? Wakat polisi kila mtu anatoka kwa muda wake?
Je mawasiliano mlipeana ili mkutane huko nje? Hizo no za simu waliandika wapi?
Hivi unajua kuna kitu kunaitwa garage, mahojiano huko hufanyika mpaka saa nane
 
Back
Top Bottom