Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

Kiongozi pamoja na kuwa tuna mapolisi wasiokuwa na maadili lakini hakuna vitendo hivyo kwenye vituo vya Polisi.

Hata magerezani wanaolawitiwa ni kwa hiyari yao wala si kwa kulazimishwa au kuwekwa mtu kati na kufanyiwa kinguvu, si kweli na hakuna kitu kama hicho.
Mjinga mkubwa ww tana taira kabisa inawezekana ww ni polisi Ila ni pumbavu kabisa hii umeona viroba vingapi vya watu kwenye baharii au uanjitoa ufahamu watu wangapi wamepelekwa vituo vya polisi na kufia ukouko na wakasema amajiuwa wangapi wanachukuliwa vituo vya polisi na polisi wenyewe na kwenda kuwauwa kwenye mapori na kusema walikuwa wanatupiana risasi kama majambazi mbwa kabisa ww polisi wengi ni washenzi tamaa nyingi mbele hamna utu kabisa laana nyingi ziko mikononi mwenu ndyoo maana ata Yule mwenzenu kajijengea kaburi sababu anajua yapi mengi waliyoyafanya mnatumika alafu mnaachwa kama mbwa Koko maishani mwenu kote
 
Jamani ni 2022 funguka kila kitu weka majina na vituo vyao vya kazi unadhan ukificha ficha ndio inasaidia
Naomba kuuliza hivi vituo vya police hawawezi kuviweka kwa hali ya usafi na kutengeneza mazingira mazuri kiafya juzi kuna rafki aliwekwa aliniambia pachafu sana ,miaka kwenda uchafu ushapitwa na wakati kwanin pasiwe pasafi tu
Halaf police wanapenda rushwa mdhamana mpaka pesa ndio anatoa waweke camera
Siwapendi police
Lugumi ndio alipewa tenda ya kufunga hivyo vifaa vya finger print na camera matokeo yake pesa yote amegawana na hao Polisi na yeye kujenga maghorofa yake.
 
Mjinga mkubwa ww tana taira kabisa inawezekana ww ni polisi Ila ni pumbavu kabisa hii umeona viroba vingapi vya watu kwenye baharii au uanjitoa ufahamu watu wangapi wamepelekwa vituo vya polisi na kufia ukouko na wakasema amajiuwa wangapi wanachukuliwa vituo vya polisi na polisi wenyewe na kwenda kuwauwa kwenye mapori na kusema walikuwa wanatupiana risasi kama majambazi mbwa kabisa ww polisi wengi ni washenzi tamaa nyingi mbele hamna utu kabisa laana nyingi ziko mikononi mwenu ndyoo maana ata Yule mwenzenu kajijengea kaburi sababu anajua yapi mengi waliyoyafanya mnatumika alafu mnaachwa kama mbwa Koko maishani mwenu kote
Nikikujibu sawasawa na upumbavu wako Mods wataniona mimi,

Sasa ngoja nikupe muda kwanza kisha nitakufunza adabu.
 
Ila hicho kisa alicho andika jamaa kama ni kweli halafu initokee mimi, hao polisi na huyo mtu waniue. Nikitoka mzima watajua WW1 na hata WW2 ilikuwa vita ya kitoto.

Nasema labda waniue, wakiniacha salama hakuna cha nani wala nani ilimradi wote ni binadamu na tunakanyaga ardhi.

Kama ni kweli polisi waache hiyo mambo mara moja.
Watu hawakumwelewa hamza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu pole sana kwa kunusurika kubakwa ka si kufi... kiufupi mkuu ka nimeelewa vema ni kuwa mbaya wako ni huyo mtu wa TARURA ka si TANROAD, kutokana na sababu zenu ama ugomvi wenu kakuundia zengwe ukafikishwa sehemu ambayo ulifika.
Mie naona unastahiki kwanza kulalamikia aliyekutengenezea zengwe hilo

Nilitekwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo DSM kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho.​

hiyo kauli ni nzito sana, pia we hukutekwa ila ulikamatwa na kupelekwa kituo cha polisi. Acha chuki zako binafsi na polisi ama usitake kutuambukiza chuki yako dhidi ya watu wasio na hatia.
 
mwanaume unatakiwa upambane marinda yasiharibiwe labda umepigwa sindano za usingizi,na ukigundua inabid useme na roho zao, bila shaka ulitoa izo pesa
 
Kitendo cha kubagen asininiliwe ni bonge la udhaif akikutana na wasiotaka pesa inamaana jamaa ingekua fresh tu
Nimeshangaa sana mkuu, mtu ana bargain asiliwe, imagine.

Yaani mwanaume unabembeleza watu wasikufire kweli? Si bora wakuue.

Yaani kitendo cha mwanaume mwenzako kuomba ama kutaka akufire hapo ametangaza vita.

Mimi niko tayari kufungwa maisha ama hata kunyongwa kwa kuua mtu yoyote akijaribu tu kuzungumzia mk.undu wangu, kwanza anaanzia wapi kutaka anifire?
 
Nimeshangaa sana mkuu, mtu ana bargain asiliwe, imagine.

Yaani mwanaume unabembeleza watu wasikufire kweli? Si bora wakuua.

Yaani kitendo cha mwanaume mwenzako kuomba ama kutaka akufire hapo wmetangaza vita.

Mimi niko tayari kufungwa maisha ama hata kunyongwa kwa kuua mtu yoyote akikaribu tu kuzungumzia mk.undu wangu, kwanza anaanzia wapi kutaka anifire?
Au labda jamaa handsome mno ndio maana wamemtaman
 
Back
Top Bottom