Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

Status
Not open for further replies.
Kwa nini unashindwa lakini, maana na wewe ni mmoja wa wanafamilia ya CCM (CCM ya watoto wa Vigogo). Ulishindwa ubunge wa Africa Mashariki, Wazazi na sasa NEC.
 
Na zile kura za 'maruhani' ndio zipi hizo? Hivi wewe huoni kama yaliyokukuta ni kama 'death sentence'?! Sasa Chadema inahusiana vipi na kushindwa kwako? Unaweza kutupatia evidence kuwa rushwa haikutumika kwenye uchaguzi huo?
 
Kama ni hivi, then ni mafanikio
- Yaap katika miezi 10 niliyoishi bongo toka nirudi nimegombea:-

1- Ubunge EAC - Nimeshindwa
2. Katibu MWenezi na Elimu na Mazingira wa Wazazi Kata Kivukoni - Nikashinda
3. Ujumbe wa CCM Wilaya ya ILALA - Nikashinda
4. Ujumbe wa WAZAZI_CCM Mkoa wa Dar - Nikashinda
5. Katibu MWenezi CCM Mkoa wa Dar - Nikashindwa
6. Ujumbe Baraz la Wazazi-CCM Taifa - Nikashinda
7. NEC Viti 10 Bara - Nimeshindwa

- So haya yote in 10 months, ni supa sana na tupo vizuri sasa ni kutulia na kujipanga tena mapambano bado sana!!


Le Mutuz!!
 
- Le Biig Shoow na My Super Friends, Super Sintah JLO na Super Kidoti Jokate, ni my people good friends love them with my heart tuna uhusiano wa kawaida na kibiashara maana wote ni wafanya biashara wakubwa sana na very smart people ingawa Sintah JLO nimecheza naye Movie ya The Return Of JLO, si aunajua klwamba Rais Reagan naye alikuwa Big show mcheza Cinema kama vipi au? ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
nimekusoma big broo le mutuz.....mayanki wengi wanakuonea wivu sana aisee ukiwa karibu na totozi kama JLO kweli nakuambia....hata hapa JF si unaona arifu.....arife please hook me up aisee kwa hio totozi JLO nataka nipige muhuri na mie....ndio ujanja wa mjini arifu
 
- WEll, nimeshindwa kwa sababu walioshinda ni wazoefu wakubwa zaidi yangu ndani ya chama, wameshinda Viongozi wa Taifa wote 10 naamin inajisema yenyewe ni kwa nini nimeshindwa, tatizo sio kushindwa ila ni ulipoangukia ni wapi!!

Le Mutuz!

Hivi na January Makamba kumbe ana uzoefu mkubwa ndani ya CCM?
 
hawa si kama wajukuu zake kabisa?/jamaa hakui au laana za watanzania bado zinamwandama??
hapana arifu kama uko majuu hizo totozi zinapenda sana mtu alieko mamtoni......update status yako facebook weka mapicha uko DXB una cross border Schiphol utawamega wengi.....hata wale cooperate women educated utawamega kwa style hiyo....

5 minutes ago near Seattle,WA
 
wenye umri sawa na mwanao wa ujanani!!!!!!si umeona akiri yako ilivyo fupi.

haahahahahaaaaaaaaaaaaa Wewe unatafuta kuachiwa laaana na hawa wazee vijana jamaa almost zaidi ya nusu karne
 
serikali imeibiwa million nne tume ya uchunguzi inatumia million 22 kufatilia wizi huo...??
Eboo..!!ndicho chama unachojivunia wewe??
Tunawajua...
Mwisho wenu unakaribia

Umenikumbusha Mambo Ya Chidumule Super Matimila wimbo wa Mrema haaa mremaaa!!

Le Mutuz Big Show weka kando siasa haikutaki unafit sana kwenye nafasi za kina lundenga kama alivyokushauri cacico
 
Last edited by a moderator:
- Maana yake ni kwamba nikiondoka hapa wote mnakosa raha manaaanza kuniomba kila kona nirudi, and then nikija hapa nikigusa to key board wote mnakimbilia najua inawaduhi watu flani wanaopenda ujiko lakini huwezi kushindana na talent ya mtu, halafu nimeanzisha blog kwa miezi mitano tu inavuta visitors na watangazaji wa biashara kuliko blogs kibao ambazo zimekwua hai kwa miaka mingi, njoo Facebook ndio kabisa my account imejaza watu 5,000 wanaotakiwa na sheria ya FB na huku ni watu 10,000 wanaosubiri niwakubali kuwa marafiki zangu, na sasa hivi nimeombwa kuwa mtangazaji wa TV mpya Internent inayoanza next month!!

- ndio maana ya kwua The King Of All Social Networks Media!!

Le Mutuz!!

Moci:
Muungwana ciku zote hajicifii mwenyewe.. Anafanya mambo yake na kuwaacha wengine watoe cifa kama zinastahili.. Kwa hivyo haumo kwenye uungwana..

Mbili:
Ukishafikia umri wa utu uzima unatakiwa angalao hekima na busara kidogo ziwepo.. uwe na staha.. Uheshimu waliokuzunguka hata kama watoto wadogo.. Ni mtu mwenye akili ndogo ya uchizi ambae amefikia umri wa utu uzima ndo anaweza kukosa hizo staha..

Sasa kwa vile wewe sio chizi na una akili zako timamu na unahangaika na vibinti vidogo kwa kupiga navyo pics na kuja kujicifia hapa ati ni king of all social network.. baci hakuna jina lingine likufaalo zaidi ya
Kubwa jinga.. Na hakika utaenda nalo kaburini hilo jina..
 
hayo 46 yalikuwa ya nani kabla????mwehu kweli wewe,yaani unanyang'anywa 46 kati ya 100 ulokuwa nayo,then unambeza aliyekunyang'anya hana aibu.ndo maana magamba wanakutosa maana upeo wako bora hata mtoto wa chekechea.
Jibu zuri sana hili
 
- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, yaani ni MBULULA KWELI, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!

Le MutuZ
Mkuu hiyo agenda ya Chadema ndiyo mmekubaliana kuitumia kujitetea watu mlioshindwa ama wewe unaitumia kwa nafsi yako, maana naona ukijibu unatumia kushindwa kwa Chadema, unataka kusema Chadema wamekuhujumu? Alafu mie afadhali nifie huku kwa kubeba mabox kuliko kurudi kama unavyoomba labda kama CUF itashika madaraka nitarudi lakini si kujenga nchi katika mfumo wa sasa.
 
- Chadema wameshindwa kila kona na kuishia kuambulia majimbo 46 tu vipi hamuoni aibu kwamba kila kona wanawakataa, yaani ni MBULULA KWELI, well, kesho ninashikiri kwenye kikao cha Baraza Kuu la Taifa Wazazi-CCM so sijakataliwa kila mahali kama Chadema hawajakataliwa kila mahali! ha1 ha1 ha! ha!

Le MutuZ

Ewe MBULULA ebu jaribu unapojibu hoja taja jina la aliyekugusa, CHADEMA inaingiaje katika MASABURI yako au unawashwa? Mbona kuna CUF, TLP, NCCR-Mageuzi, CCK, CCJ na vingine vingi au kwa kuwa mmefunga navyo ndoa ndo maana huviotaji ila CHADEMA ndo inakunyima usingizi kwa kukuwasha kwenye MASABURI!:target:
 
- At least sijaacha mke wangu na kuiba mke wa mwananchi na kutaka kwua Rais wa jamhuri! ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

Hapo ndipo unapokosea Bro, kinachotakiwa hapa ujibu kuhusu wewe na si kukimbilia kujitetea kwa makosa ya wengine. Jitetee mwenyewe bwana.
 
Le Mutuz kaka hapo Gamba ni pesa mbele na mwenzetu cash huna ,funga macho vuagamba njoo uvae gwanda, uongo 2015 unaweza ingia mjengoni ila huko wa wezi hakuna njia na vya kuiba vimekwisha...................utaishia kupiga makofi na kuchakaza viganja vyako
 
- Kannuni na katiba za vyama vya siasa sio ishu ya Taifa, so ni invalid agrument!!, ni kama Chadema inapoamua kumnyima Zitto kugombea Urais ni tatizo la Chadema sio la Taifa ya CCM waachie CCM, wewe jali ya kwenu huko Chadema ambako wabunge wenuwanaenda bungeni na watoto zao, wake zao, na wakwe zao pamoja na dada zao!!

Le Mutuz!!

Lemutuz,
unanidatisha sana. nataka kumuacha mzungu wangu. vipi nafasi hipo au ndo J Wake Lo ndo kashachukua moja kwa moja? Si unajua hapa ni mjini mambo kubanana jamani.

Kaka naomba unifikirie. Mzungu wangu anawaza kurudi kwao. Nina mtoto mmoja wa kike miaka 4. Nazani mm na wewe tunaweza kuwazaa wenzetu wawili tena. Jamani Big showwwwwwww.... I cant get enough of you baba. By the way, I am only 33
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom