arifu aiseee hivi hilo ni jina lako pigangoma bwahaha la ukweli au nick name?Ewe MBULULA ebu jaribu unapojibu hoja taja jina la aliyekugusa, CHADEMA inaingiaje katika MASABURI yako au unawashwa? Mbona kuna CUF, TLP, NCCR-Mageuzi, CCK, CCJ na vingine vingi au kwa kuwa mmefunga navyo ndoa ndo maana huviotaji ila CHADEMA ndo inakunyima usingizi kwa kukuwasha kwenye MASABURI!:target:
Jamani mwacheni mume wangu LeMutuz. Yeye ni CHADEMA damu ndo maana anawataja CDM. Wivu utawaua eboooooo
Jamani mwacheni mume wangu LeMutuz. Yeye ni CHADEMA damu ndo maana anawataja CDM. Wivu utawaua eboooooo
- WEll, nimeshindwa kwa sababu walioshinda ni wazoefu wakubwa zaidi yangu ndani ya chama, wameshinda Viongozi wa Taifa wote 10 naamin inajisema yenyewe ni kwa nini nimeshindwa, tatizo sio kushindwa ila ni ulipoangukia ni wapi!!
Le Mutuz!
William
kwanza nikupe heshma za kuwa a man enough na ku admit kuwa umeshindwa na utaendelea kupigana
kweli hapa JF wewe ni kama kaka yetu na kila kukicha tumefarakana na mwishowe tumetukanana na lakini in the end you will always be the big brother wetu hapa ndio maana wengine hatuushi kukutania na kukuzingua na yote ni kwa sababu ya mapenzi tu na si vinginevyo.
Sasa umezungumzia suala la kurudi mimi ni mfano hai ya hao wana diaspora na sikubaliani na mawazo yako ya kuwa watu warudi kuendesha nchi kwa sababu wenye nchi wapo na sasa nafasi zimechukuliwa na watoto wao
Kama utaweza nakushauri uanzishe separate thread hapa hapa SIASA kuhusu Experiences za wana disapora waliorudi na mimi nitaweka bayana yaliyonikuta toka nimerudi, experiences zangu na mpaka hapa tulikofikia na kwa nini nasema its not a good idea kwa mwana diaspora kurudi Tanzania.
In short Uongozi na system iliopo on the ground Tanzania not only haitaki diaspora bali pia haipendi watu wenye independent minds, critical thinkers na zaidi ma intellectuals.
Sina haja ya kusema zaidi lakini jiulize kwa nini watu wenye mawazo mbadala wameamua kukimbilia twitter?
we have alot to discuss lakini si katika hii discourse ambaye iko more interested na siasa za jalalani na chuki.
kaka its not easy na hasa kama huna sir name ya akina Malecelas or Mwinyis and co...
- WEll, nimeshindwa kwa sababu walioshinda ni wazoefu wakubwa zaidi yangu ndani ya chama, wameshinda Viongozi wa Taifa wote 10 naamin inajisema yenyewe ni kwa nini nimeshindwa, tatizo sio kushindwa ila ni ulipoangukia ni wapi!!
Le Mutuz!
Mkuu kuwa JF aimaanishi kuwa watu hawagombei nafasi mbalimbali katika siasa za nchi hii na hasa ukizingatia ya kuwa wanachama wengi wanatumia anonymous names hivyo ni vigumu kujua ushiriki wao katika siasa!Unaweza ukakuta mimi ninayeaandika maneno haya ni mwasiasa maarufu hapa Tanzania!!Mwacheni Le-mutuz. Walau yeye amethubutu. Nyie mnacheza na key boards tu. Mnadhani mabadiliko yataletwa ndani ya ofisi zenu zinazopulizwa na viyoyozi. Hongera Mkuu Le-Mutuz. Endeleza mapambano, pandikiza mbegu zitakazoleta chachu ya mabadiliko. Tumia experience yako ya Politics za republican na democrat kubadilisha platform ya siasa za CCM.
arifu aiseee hivi hilo ni jina lako pigangoma bwahaha la ukweli au nick name?
- Ungeanza kusema umri wako kwaanza kama ni tija wka Taifa, haalafu useme Dr. Slaa ana umri gani na Mbowe kama vipi au? ha! ha! ha! ha! ha! ha!
Le Mutuz!!