Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,108
- 72,557
Ni shule gani hiyo ya private wanapokea ada ya miaka minne yote?
Hiyo shule haina mchujo?
Hii chai [emoji12][emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
Ni shule gani hiyo ya private wanapokea ada ya miaka minne yote?
Hiyo shule haina mchujo?
Kama wanaume wangekuwa wanashika mimba sijui wangapi wangemaliza chekechea...Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikuwa anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikuwa naondoka mkoani kuja Dar kutafuta Maisha.
Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikuwa nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni
Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa simu na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4
Na ada nimelipa miaka yote minne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika.Hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisingehangaika nalo..
Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani, nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee tumbo kurudi nyumbani kwao.
Umenena vyema.Hapa pia ndiyo sehemu ya wanaume wenzangu kuona umuhimu wa kuacha kutembea na hawa mabinti wa teens sababu level ya maturity na kimaadili ni ndogo sana
Yaani unamtongoza na anakukubali lakini ukifikiri kwa undani zaidi ni kama umemrubuni tu, si vizuri kabisa
Uko sahihi mkuu, mara nyingine tusiendekeze matamanio yetu kwa watoto hawa tunawapotezea ndoto zaoHapa pia ndiyo sehemu ya wanaume wenzangu kuona umuhimu wa kuacha kutembea na hawa mabinti wa teens sababu level ya maturity na kimaadili ni ndogo sana
Yaani unamtongoza na anakukubali lakini ukifikiri kwa undani zaidi ni kama umemrubuni tu, si vizuri kabisa
Kumbe ndio maana kaka zangu walikua wanapenda kwenda disco na Mimi!Biti tuu hilo, atahamia kwa binamu zake ambao nao watamla nyama ya hamu... Sio tuu mtamsahau ad a yenu bali mtakuwa na bifu kati ya ndugu na ndugu.
Mtoto wa kike hatishwi, anaelimishwa na kuandaliwa kisaikolojia, tena kama nyie wakiume Ndo wakubwa, mwambieni siri zote za kisengee za kiume ili Hata akitongozwa ajue Haya kaka zake walishamwambia. Na akiwa mschana torokeni nae muende nae disco mumuoneshe ujana nyie kaka zake ili asidanganyike na wavulana kumtorosha disco (iwapo anapebda mziki).
Akifika umri wa kuanza kutumia kilevi mtoeni out mfundisheni unywaji salama iwapo ataonesha kiu ya kupenda kunywa pombe)
Bado baadae ya kufanya yote Haya huna guarantee Kuwa hatodanganyika na kudondoka... She is your sister give her courage to challenge other men outer there but akifika umri wa kuolewa awe marketable to suitable husband.
As a brother play your role sio kutumia vitisho na ubabe.
# SAMBAZA UPENDO.
Dah..pole sana mkuu na hongera kwa kuyashinda uliyoyapitiaNatamani ningekua na contact yako ningekushauri sana maana mm in mvivu was kuabdija
Ila nasena Mimi mwenyewe nilibeba mimba shule nikiwa kidato cha tatu
Ila mwanzo nilichukiwa na kila mtu na kuonekana Nina hatia kubwa sana kumbe kilichotokea mpaka Leo hua natamani Sikh zirudi nyuma kisinitokee ila baadae mama alikaa chini na mimi kuniuliza
Nilipomwambia alirudi nyuma na kunionea huruma na nilijifungua na kurudishwa shule nilisoma na kufaulu vizuri sana mpaka Leo. Nina mtoto wangu na elimu maana baba wa mtoto hata sijui ni nani na sijui aliko maana nilifanyiwa ukatili na MTU ambaye sikufanikiwa kuiona sura yake na ilikua ndio Sikh yangu ya kwanza kufanya kitendo kile.
Now. Mwanangu ana miaka 12 na miezi 6
PointKupata mimba is one thing cha maana hapo ni maendeleo yake je ana akili ?, Kama anazo kuna sehemu nyingi za kumuendeleza kama VETA kujifunza kushona, Hotel Management n.k.
Kuhusu gharama kwani hakukuwa na shule za gharama ndogo kwa wakati huo ambazo ungeweza kutoa bila kuonyesha kwamba unahitaji return of investment ?
Investing in people ni jambo la maana sana.., hata kama kafanya kosa endelea kumuwezesha shukrani atakazokuja kukupa baadae huwezi kujua, akifanikiwa huenda hata watoto wako au wewe siku yakikuzidi utapata pa kukimbilia..., swali la maana ni elimu anaiweza ? (muwezeshe kulingana na yeye nini anaweza na anapenda).., Tenda Wema uende zako
Kwa binadam mchunguMkuki mtamu kwa nguruwe.........
mkuu kwenye mpira tunaita "own goal"
so huwa inatokea
Tena haina hata sukari...labda tutafunie kashata[emoji23][emoji23][emoji23]Hii chai [emoji12][emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikuwa anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikuwa naondoka mkoani kuja Dar kutafuta Maisha.
Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikuwa nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni
Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa simu na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4
Na ada nimelipa miaka yote minne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika.Hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisingehangaika nalo..
Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani, nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee tumbo kurudi nyumbani kwao.
Piga moyo konde bro, kumbuka Mungu akijli atajakua na mtoto wa kike samehe just mtumie nauli akapumizke nyumbani nawe upate akili nyingineNilimuacha akiwa mdogo sana na alikuwa anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikuwa naondoka mkoani kuja Dar kutafuta Maisha.
Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikuwa nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni
Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa simu na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4
Na ada nimelipa miaka yote minne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika.Hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisingehangaika nalo..
Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani, nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee tumbo kurudi nyumbani kwao.
Msamehe mkuu,in our family kitu kama hichi kilitutokea,sisi tulimwacha akakaa nyumbani mpaka alivyojifungua maisha mengine yakaendelea na huduma zote za uzazi alizipata from home nakumbuka my bro alisimamia kila kitu kuanzia hospital mpaka alivyokwa stable huyu dada yetu.Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikuwa anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikuwa naondoka mkoani kuja Dar kutafuta Maisha.
Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikuwa nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni
Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa simu na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4
Na ada nimelipa miaka yote minne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika.Hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisingehangaika nalo..
Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani, nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee tumbo kurudi nyumbani kwao.
Kweli umemshauri jambo jemaUsikate tamaa kiasi hicho, tafuta mbinu ya kumsaidia .watoto wa kike wana roho nyepes sana kama utamtenga katika wakati huu mgumu. Anaweza kuchukua maamuzi mabaya.