Tatizo wakati mwingine wanatiana watoto kwa watotoAseh, kwann mwanaume rijali mwenye akili zake anamtia mimba mwanafunz, basi mtumie hata mipira aseh kama kuacha ubakaji mmeshindwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole mkuu.Kwaiyo alienda kusomea jinsi ya kubeba mimba
Hapo kaka mchukue ajifungue tunza Anko yeye aende SHULE. Hakuna MTU muhimu ktk maisha kama dada endapo n maisha mazuri. Ni msaada kweli kweli. Hiyo Mimba alitest mitambo akiwa home/au huko SHULE. Inatakiwa kumsamehe sanaaaa
Naona unataka kumtia hasara nyingine huko yakununua mafuta na maji yakunywaNJOOO KWA MWAMPOSAAA ELSE SOON NAKUONA KICHWA KITAPATA MOTO UTAKUWA UNAONGEA MWENYEWE BARABARANI
Mkuu inatakiwa ujue shetani na yeye ana nguvu.Huwa nadharau sana mtu anayetembea na mwanafunzi kwanza nikikujua kama ni rafiki yangu hapo hapo nakuchana
Kama ina miezi 4 hawawezi mruhusu mwenzi 11 huwenda akawa bado kujifungua.Punguza hasira, Ratiba ya mtihani imeshatoka, mtihani mwezi wa 11, jaribu kumwombea kufanya mtihani siku hiyo mtafute mtu wakumshikia mtoto ye apige pepa.
Punguza hasira, Ratiba ya mtihani imeshatoka, mtihani mwezi wa 11, jaribu kumwombea kufanya mtihani siku hiyo mtafute mtu wakumshikia mtoto ye apige pepa.
Karma is a bitch!Hii thread naona wanawake ndio wamesogea wengi humu kumuombea msamaha mwenzao..
Mtoto Kala raha kanogewa kapitiliza sasa ni Majuto.
Ila km ni kweli hii ni Kama karma jichuguze.!
life's go on..!