Nilifanya ujinga kumsomesha mdogo wangu wa kike

Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikuwa anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikuwa naondoka mkoani kuja Dar kutafuta Maisha.
Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikuwa nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni
Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa simu na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4
Na ada nimelipa miaka yote minne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika.Hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisingehangaika nalo..
Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani, nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee tumbo kurudi nyumbani kwao.
Msamehee MDOGO wako tafadhali.
Tupo chini ya miguu yako samehee mkuu Lea kajomba maisha yaendelee ni kwani pesa zinatafutwa mkuu.
 
Unajua huwezi mtupa ndugu yako wa damu, Ni kweli inasikitisha kushindwa kumaliza masomo lkn bado dogo anahitaji msaada. Huwezi jua unaweza lea magufuli wa miaka ijayo. Tunatakiwa kusamehe maisha yaendelee
Yani i don't care atakuja kuwa Magufuli, Ronado au Card B sisomeshi mtu aje anisaidie nasomesha mtu aje ajisaidie yeye na familia yake kunisaidia ni hisani tu akitaka atanisaidia asipotaka ni yeye.
.
Kuna mdogo wangu alikuwa anasoma shule moja ipo Mwanza ni maarufu sana inaitwa Alliance Girls yule mpuuzi anacheza sana Volleyball na Neti ball sasa alichokuwa anakifanya alikuwa anaondoka shule anakwenda kwa mabwana zake enzi hizo kina Ciza madini wanawika sana.
.
Mimi najua dogo anapata madili ya kukutana na wasanii na watu maarufu kwa sababu ya vipaji vyake kumbe ni umalaya, siku alikuja kupata ajali mwanafunzi wa Alliance boys akafariki nikamuona kampost Facebook 😭😭 nikajiuliza dogo kapata wapi simu mbona hii picha imepostiwa leo 😐
.
Nikaenda shule kilichonipooza ni maendeleo yake mazuri darasani nikamkanya akanyang'anywa simu na walimu nikarudi haikupita miezi miwili ana mimba tayari akatoa, nikamkanya na kipigo juu akaendelea kusoma mwezi wa tisa nyingine akatoa hii sikujua yuko kidato cha nne akanasa hii ikagoma kutoka.
.
Kuna mwenzao malaya aliyekubuhu ndiye alikuwa anawapeleka hospital wakatoe yule mphamasia alikuwa bwana wake akaumwa sanaa nikaitwa nikaenda ikabidi tupeleke Sekoutoure mimba ikagoma kutoka shule hana tena akarejea nyumbani kwa wazazi wakati huo hajastaafu Mungu wangu si akatoa hiyo mimba ikiwa na miezi mitano.
.
Akarudi kwangu nikamrudisha shule akapata mimba tena akiwa anasoma diplomat sijawahi kumuona toka mwaka 2016 hadi leo nasikia kaolewa na lizee masaki haki ya mama nikija muona yule nauwa
 
Yani i don't care atakuja kuwa Magufuli, Ronado au Card B sisomeshi mtu aje anisaidie nasomesha mtu aje ajisaidie yeye na familia yake kunisaidia ni hisani tu akitaka atanisaidia asipotaka ni yeye.
.
Nikaenda shule kilichonipooza ni maendeleo yake mazuri darasani nikamkanya akanyang'anywa simu na walimu nikarudi haikupita miezi miwili ana mimba tayari akatoa, nikamkanya na kipigo juu akaendelea kusoma mwezi wa tisa nyingine akatoa hii sikujua yuko kidato cha nne akanasa hii ikagoma kutoka.
.
Akarudi kwangu nikamrudisha shule akapata mimba tena akiwa anasoma diplomat sijawahi kumuona toka mwaka 2016 hadi leo nasikia kaolewa na lizee masaki haki ya mama nikija muona yule nauwa

Mkuu full contradictions....
Kwanza husomeshi ili akusaidie ni ili ajisaidie yeye na familia yake sasa since yupo zake Masaki wala humuoni na anaendelea na maisha yake huoni kwamba your job is accomplished ? Angekuwa kwako au bado anaomba msaada that's another case...

Mbili wewe hapo umesamehe zaidi ya mara kadhaa kwa ndugu yako sijui umetoa ushauri gani kwa huyu jamaa mdogo wake..,

Tatu ukikutana nae ukamuua ndio utakuwa umemsaidia yeye na familia yake au umeleta majonzi kwake, familia yake na yako ?
 
Yani i don't care atakuja kuwa Magufuli, Ronado au Card B sisomeshi mtu aje anisaidie nasomesha mtu aje ajisaidie yeye na familia yake kunisaidia ni hisani tu akitaka atanisaidia asipotaka ni yeye.
.
Kuna mdogo wangu alikuwa anasoma shule moja ipo Mwanza ni maarufu sana inaitwa Alliance Girls yule mpuuzi anacheza sana Volleyball na Neti ball sasa alichokuwa anakifanya alikuwa anaondoka shule anakwenda kwa mabwana zake enzi hizo kina Ciza madini wanawika sana.
.
Mimi najua dogo anapata madili ya kukutana na wasanii na watu maarufu kwa sababu ya vipaji vyake kumbe ni umalaya, siku alikuja kupata ajali mwanafunzi wa Alliance boys akafariki nikamuona kampost Facebook [emoji24][emoji24] nikajiuliza dogo kapata wapi simu mbona hii picha imepostiwa leo [emoji52]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Ana nyota ya mimba huyoo malaya alafu anadakaa mimba ka ugoroo[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]
 
Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikuwa anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikuwa naondoka mkoani kuja Dar kutafuta Maisha.

Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikuwa nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni

Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa simu na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4

Na ada nimelipa miaka yote minne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika.Hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisingehangaika nalo..

Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani, nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee tumbo kurudi nyumbani kwao.
Mkuu umehamaki kama ulikuwa haujawahi kuwazia hilo.

Unaposomesha mtoto wa kike lazima suala la ujauzito uliweke kichwani. Na ni lazima umkanye sana na kumtisha sana juu ya hilo. Hili litakufanya usishituke saana pindi mimba itakapotokea na pia itakufanya utengenze kwa siri, plan B endapo mimba ikitokea.

Lakini hapo kwenye plan B mimi napendaga kuwashauri watu kwamba, maisha siyo shule tu. Baada ya kupoteza nafasi sehemu moja, unaweza kutafuta namna ya kumsaidia kimtaamtaa pindi atakapojifungua.

Kama umewahi kuwaona mabinti waliopata mimba na kufukuzwa makwao wanavyopata shida, aidhani kama unaweza kuchukua maamuzi magumu ya kumfukuza au kuacha kumsaidia jumla. Kumbuka huyo ni ndugu yako kabisa, ukimtupa utakuwa umemkomesha yeye pamoja na hicho kiumbe na haujamkomesha msababishaji wa hayo yote.

USHAURI: kwa sasa, Mtumie nauli, arudi nyumbani ( kwa wazazi) moja kwa moja, ili wewe upate muda wa kushusha hasira uliyonayo.

Baada ya kutulia jiangalie kwanza wewe mwenyewe kwamba baada ya kujifungua unaweza kumsaidia kwa kipi? Kumfungilia biashara ndogo au kubwa, kumrudisha shule kuanza upya, kumrudisha kama qt, kumpeleka veta, kumpeleka sehemu yoyote wanayofundisha ufundi fulani au msaada wowote mwingine unaoweza kumpatia.

Then, baada ya kujifungua na kutulia; kaeni naye kikao kama familia ili kuweka naye makubalino ya second chance mnayoenda kumpa ili ajicomit mwenyewe.
 
Kama huyu brother unahaki ya kuchukia kwa sababu anafanya makusudi na siyo bahati mbaya. Kupata mimba zaidi ya mara moja ni ishara ya kwamba mtu ana dhamiria kufany anachofanya. Hata kama ni ndugu hapo nakaa pembeni namuangalia tu
Yani i don't care atakuja kuwa Magufuli, Ronado au Card B sisomeshi mtu aje anisaidie nasomesha mtu aje ajisaidie yeye na familia yake kunisaidia ni hisani tu akitaka atanisaidia asipotaka ni yeye.
.
Kuna mdogo wangu alikuwa anasoma shule moja ipo Mwanza ni maarufu sana inaitwa Alliance Girls yule mpuuzi anacheza sana Volleyball na Neti ball sasa alichokuwa anakifanya alikuwa anaondoka shule anakwenda kwa mabwana zake enzi hizo kina Ciza madini wanawika sana.
.
Mimi najua dogo anapata madili ya kukutana na wasanii na watu maarufu kwa sababu ya vipaji vyake kumbe ni umalaya, siku alikuja kupata ajali mwanafunzi wa Alliance boys akafariki nikamuona kampost Facebook [emoji24][emoji24] nikajiuliza dogo kapata wapi simu mbona hii picha imepostiwa leo [emoji52]
.
Nikaenda shule kilichonipooza ni maendeleo yake mazuri darasani nikamkanya akanyang'anywa simu na walimu nikarudi haikupita miezi miwili ana mimba tayari akatoa, nikamkanya na kipigo juu akaendelea kusoma mwezi wa tisa nyingine akatoa hii sikujua yuko kidato cha nne akanasa hii ikagoma kutoka.
.
Kuna mwenzao malaya aliyekubuhu ndiye alikuwa anawapeleka hospital wakatoe yule mphamasia alikuwa bwana wake akaumwa sanaa nikaitwa nikaenda ikabidi tupeleke Sekoutoure mimba ikagoma kutoka shule hana tena akarejea nyumbani kwa wazazi wakati huo hajastaafu Mungu wangu si akatoa hiyo mimba ikiwa na miezi mitano.
.
Akarudi kwangu nikamrudisha shule akapata mimba tena akiwa anasoma diplomat sijawahi kumuona toka mwaka 2016 hadi leo nasikia kaolewa na lizee masaki haki ya mama nikija muona yule nauwa
 
mkuu unapaswa kutambua kuna wanaoenda shule kutafuta maarifa na kunawanaoenda kusomea ujinga,mdogo wako yuko kwenye hili kundi la pili
 
Mkuu full contradictions....
Kwanza husomeshi ili akusaidie ni ili ajisaidie yeye na familia yake sasa since yupo zake Masaki wala humuoni na anaendelea na maisha yake huoni kwamba your job is accomplished ? Angekuwa kwako au bado anaomba msaada that's another case...
Kazi yangu haikutakiwa kuisha kipumbavu vile na kwa fedheha

Mbili wewe hapo umesamehe zaidi ya mara kadhaa kwa ndugu yako sijui umetoa ushauri gani kwa huyu jamaa mdogo wake..,
Story yangu ni kama funzo kwa jamaa na kwa yeyote atakayepatwa na tatizo kama hili.

Tatu ukikutana nae ukamuua ndio utakuwa umemsaidia yeye na familia yake au umeleta majonzi kwake, familia yake na yako ?
Familia yetu haimtambui na haimtaki yule malaya, huu ni uchungu unaoishi ndani yangu mimi binafsi
 
Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikuwa anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikuwa naondoka mkoani kuja Dar kutafuta Maisha.

Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikuwa nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni

Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa simu na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4

Na ada nimelipa miaka yote minne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika.Hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisingehangaika nalo..

Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani, nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee tumbo kurudi nyumbani kwao.
Duh...pole sana mkuu...
Umefanya sehemu yako wala usijilaumu.

Fanya mpango dgo ajifungue akuze mtoto kidgo arudi shule maana elimu ni haki yake ya msingi.

CHA KUJIFUNZA: Ni vizuri kufanya wajibu wako ili usilaumiwe kuliko kutofanya sehemu yako ulaumiwe.

ASANTE
 
Hawa watoto wana changamoto sana. Sijui ni tamaa au ni kitu gani?​
Inatia hasira sana nilisomesha mtoto wa kakaangu kwa hela ya boom alipoingia kidato cha nne akabeba mimba. Akaenda akajifungua baadae ndugu wakanisihi nimsaidie asome QT mana alikuwa ameanza tena na vijana wa boda wakati huo ndo naanza maisha nikakubali.
Alipomliza QT akaondoka na mimba nyingine, na hapo nilijinyima tena ili angalau asome. Mwanaume aliyempa mimba nae mbangaizaji tu hata kusomesha mtoto wa kwanza ni shida. Ukweli inatia hasira
 
Kazi yangu haikutakiwa kuisha kipumbavu vile na kwa fedheha
kwahio ulisomesha ili usipate fedhea na sio kusaidia (hence ndio maana nikasema uzi wako ni full contradictions)
Story yangu ni kama funzo kwa jamaa na kwa yeyote atakayepatwa na tatizo kama hili.
kwahio unataka kusema wote waliosamehe mwisho wake ulikuwa kama wako ? Au hakuna case studies ambazo mwisho wake ni fotauti ?

Familia yetu haimtambui na haimtaki yule malaya, huu ni uchungu unaoishi ndani yangu mimi binafsi
Sasa huoni kutokuwa kwake machoni kwako ni faida kwako na kwake.., nina uhakika aliyemwoa anamtambua na kumuhitaji na wewe kumsaidia umetekeleza wajibu wako na kwa faida yake mengine ni kumuachia yeye na mzigo wake..., kama hutaki kumuona alafu bado una hasira nae nadhani machungu ni kuona alikuwa hana fadhila za kutokukutafuta (ambayo ni kweli kafanya kosa) ila huenda roho inamsuta ila uoga wa kujua wewe siku ukimuona utataka kumuua unamfanya aumie peke yake.., nina uhakika siku ukimtafuta na kumsalimia tu na kusema hauna kinyongo... wote yeye na wewe mtapunguza mzigo mzito rohoni
 
Inatia hasira sana nilisomesha mtoto wa kakaangu kwa hela ya boom alipoingia kidato cha nne akabeba mimba. Akaenda akajifungua baadae ndugu wakanisihi nimsaidie asome QT mana alikuwa ameanza tena na vijana wa boda wakati huo ndo naanza maisha nikakubali.
Alipomliza QT akaondoka na mimba nyingine, na hapo nilijinyima tena ili angalau asome. Mwanaume aliyempa mimba nae mbangaizaji tu hata kusomesha mtoto wa kwanza ni shida. Ukweli inatia hasira
Pole sana ndugu yangu!
Nafikiri ni muhimu katika malezi wazazi wa kiume tukawa karibu sana na mabinti zetu, sio kuwabana bali ni kujaribu kuwaelewesha baadhi ya mambo. Hii itasaidia sana kutokuwahi kukimbilia wanaume mapema.
​
 
Yani i don't care atakuja kuwa Magufuli, Ronado au Card B sisomeshi mtu aje anisaidie nasomesha mtu aje ajisaidie yeye na familia yake kunisaidia ni hisani tu akitaka atanisaidia asipotaka ni yeye.
.
Kuna mdogo wangu alikuwa anasoma shule moja ipo Mwanza ni maarufu sana inaitwa Alliance Girls yule mpuuzi anacheza sana Volleyball na Neti ball sasa alichokuwa anakifanya alikuwa anaondoka shule anakwenda kwa mabwana zake enzi hizo kina Ciza madini wanawika sana.
.
Mimi najua dogo anapata madili ya kukutana na wasanii na watu maarufu kwa sababu ya vipaji vyake kumbe ni umalaya, siku alikuja kupata ajali mwanafunzi wa Alliance boys akafariki nikamuona kampost Facebook [emoji24][emoji24] nikajiuliza dogo kapata wapi simu mbona hii picha imepostiwa leo [emoji52]
.
Nikaenda shule kilichonipooza ni maendeleo yake mazuri darasani nikamkanya akanyang'anywa simu na walimu nikarudi haikupita miezi miwili ana mimba tayari akatoa, nikamkanya na kipigo juu akaendelea kusoma mwezi wa tisa nyingine akatoa hii sikujua yuko kidato cha nne akanasa hii ikagoma kutoka.
.
Kuna mwenzao malaya aliyekubuhu ndiye alikuwa anawapeleka hospital wakatoe yule mphamasia alikuwa bwana wake akaumwa sanaa nikaitwa nikaenda ikabidi tupeleke Sekoutoure mimba ikagoma kutoka shule hana tena akarejea nyumbani kwa wazazi wakati huo hajastaafu Mungu wangu si akatoa hiyo mimba ikiwa na miezi mitano.
.
Akarudi kwangu nikamrudisha shule akapata mimba tena akiwa anasoma diplomat sijawahi kumuona toka mwaka 2016 hadi leo nasikia kaolewa na lizee masaki haki ya mama nikija muona yule nauwa
Pole sana
 
Pole Sana mkuu! Inaumiza Sana ila jaribu kutanguliza ubinadamu usimtose nduguyo.
 
Mkuu unakosea sana, narudia tena unakosea sana,
Ni kwa sababu ya ghadhabu aliyonayo kwani hiki kilichotokea sio matarajio yake hivyo maamzi ya muda hata wewe ungeweza fanya japokua sasa hivi utasema huwezi kwani hauko kwenye hivyo viatu
 
Back
Top Bottom