mkuu bora ungewambia aende kwa aliyempa mimbaNilimuacha akiwa mdogo sana na alikua anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikua naondoka mkoani kuja dar kutafuta Maisha..
Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikua nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni
Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa sim na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4
Na Ada nimelipa miaka yote mi nne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika,,hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisinge hangaika nalo..
Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani , nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee Tumbo kurudi nyumbani kwao
siumwambie makosa yake basi, yaani nyinyi ni wale munaencourage watoto wapata mimba wakiwa shuleni, WHAT A STATEMENT OF SHAME YOU HAVE JUST GIVEN SIRMkuu unakosea sana, narudia tena unakosea sana,
mkuu asante sana kwa kusema haya, lakini wanaume ni wale wale tu, binti ambae ako na hata 19 years bado mchanga sana kimawazo, na ukifikiria binadamu sio mwili binadamu ni akili na jinsi anavyoitumia utakuja jua ya kuwa wanaume wengi wanakosea kabisa, binti wa shule hata ukimtongoza akubali hata huwe hajielewi , wala hana fikira za kutafakari THE CONSQUENSES za kufanya ile tendo na wewe kaa wanaume,so kwangu kaa ni mimi nakasamehe tu hako kabinti, nangoja kanazaa, kakapa onyo kali, na ninakarudisa shule, nakasomesa hadi chuo kikuu, thanks a lot for writting what you wroe sir, blessingsHapa pia ndiyo sehemu ya wanaume wenzangu kuona umuhimu wa kuacha kutembea na hawa mabinti wa teens sababu level ya maturity na kimaadili ni ndogo sana
Yaani unamtongoza na anakukubali lakini ukifikiri kwa undani zaidi ni kama umemrubuni tu, si vizuri kabisa
Aisee bodaboda wanat.omba visochana vya shule kama kuku asiee ni balaa tupuBodaboda fulani hivi
Hongera sana mkuu kwa kuleta hii taarifa hapa, nakushukuru kwa hilo, Lakini sasa tuingie kwa mada moja kwa moja,Sijui wewe ni mkristo au muislam, mimi ni mkristo , na katika maisha yangu yaliojaa mafanikio kile kimenisaidi ni neno la mungu toka kwa bibilia,Na kati ya mambo mengi ambayo bibilia imeongea kuhusu maisha, ningetaka usoma maneno yalioadika na the wisest man who ever lived, huyu ni mfalme suleiman, proverbs 4,verse 7. soma tena na tena hata kaa wewe sio mkiristo na hio neno la mungu litakusaidi sana kwa hili unayolipitia sasa,nikupe ushauri kidogo, usitume nauli, wewe enda shuleni, kwa upendo mkuu muchukue mdogo wako, enda nae nyumbani, usimupyese ukali licha ya ile uchungu uko nae kaa binadamu, kaa nae chini muulize nini ilijiri? wambie ukupe yote A-Z , mpaka akapa uja uzito, si ajabu utasikia baba ya mtoto ni kavulana wanasoma wote au wedesaji wa boda boda hata pengine walimu wake, ukisajua hayo, sasa uamuzi utachukua kuambatana na vile dogo atasema. lakini mpe upendo wote, mpaka ajifungue, keti chini nae wambie umeona hata baba mtoto hakutaki, murudise shule, wambie hio iwe ni funzo kwake na akirudia tena utamupotelea kabisa, na si ajabu huyu dogo wako atasoma atafaulu ataendelea mpaka chuo kikuu,jambo la wisho ndugu yangu hao mabinti huwa hawako MATURE IN MIND, yaani akili haijakomaa, bado wachanga sana kimawazo, anaweza kuwa mwili ana mkubwa lakini akili bado changa, na ukumbuke binadamu yeyote ni AKILI SIO MWILI AU HATA MIAKA . so pls cool down, take it easy, do as i have told you and see what GOD WILL DO FOR THIS YOUR YOUNG CUTE SISTER, be lessed, shalom.and remmeber forgivness is not a request from GOD no no no its a COMMADMENT, have a blessed day sir,Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikua anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikua naondoka mkoani kuja dar kutafuta Maisha..
Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikua nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni
Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa sim na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4
Na Ada nimelipa miaka yote mi nne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika,,hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisinge hangaika nalo..
Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani , nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee Tumbo kurudi nyumbani kwao
Mkuki mtamu kwa nguruwe.........Kumbe wenu wanauma! Mbona kutwa kuvuruga watoto wa wenzenu?
Karma........
as long as amesajiliwa,anaweza kufanya mtihani na mimba yake,wala sio shidaNilimuacha akiwa mdogo sana na alikua anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikua naondoka mkoani kuja dar kutafuta Maisha..
Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikua nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni
Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa sim na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4
Na Ada nimelipa miaka yote mi nne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika,,hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisinge hangaika nalo..
Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani , nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee Tumbo kurudi nyumbani kwao
Hapo hakuna tatizo mwache azae atarudi kufanya mtihaniNilimuacha akiwa mdogo sana na alikua anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikua naondoka mkoani kuja dar kutafuta Maisha..
Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikua nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni
Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa sim na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4
Na Ada nimelipa miaka yote mi nne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika,,hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisinge hangaika nalo..
Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani , nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee Tumbo kurudi nyumbani kwao
Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikua anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikua naondoka mkoani kuja dar kutafuta Maisha..
Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikua nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni
Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa sim na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4
Na Ada nimelipa miaka yote mi nne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika,,hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisinge hangaika nalo..
Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani , nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee Tumbo kurudi nyumbani kwao
Umekua broohHapa pia ndiyo sehemu ya wanaume wenzangu kuona umuhimu wa kuacha kutembea na hawa mabinti wa teens sababu level ya maturity na kimaadili ni ndogo sana