Nilifanya ujinga kumsomesha mdogo wangu wa kike

Nilifanya ujinga kumsomesha mdogo wangu wa kike

floow

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2017
Posts
411
Reaction score
858
Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikuwa anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikuwa naondoka mkoani kuja Dar kutafuta Maisha.

Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikuwa nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni

Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa simu na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4

Na ada nimelipa miaka yote minne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika.Hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisingehangaika nalo..

Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani, nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee tumbo kurudi nyumbani kwao.
 
Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikua anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikua naondoka mkoani kuja dar kutafuta Maisha..

Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikua nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni

Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa sim na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4

Na Ada nimelipa miaka yote mi nne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika,,hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisinge hangaika nalo..

Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani , nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee Tumbo kurudi nyumbani kwao
Huuu onyesha wewe ni kaka hatakama kawa disapointment stand for her usipomlipia nauli au ukiacha kuumpa care mdogo wako wadamu usijidanganye kwamba unampenda mke wako au jirani yako na hata mtoto wako na usijidai kwamba wewe ni mtoto kwamba ndo kwamara yakwanza umesikia limetokea haya mambo yapo sana ...... it wont change a thing ..... dada yangu yalimtokea haya haya mzee aliumia sana ila hamna jinsi aliendelea msomesha ...the rest is history
 
Mkuu acha hizo kamchukue tu mdogo wako huwezi jua ya mbeleni anaweza kuwa msaada mkubwa kwako.

Kosa limeshatokea lazima ukubali matokeo hata ufanye nini huwezi kubadili matokeo.

Kingine wabongo hatuna desturi za kuongea na wadogo zetu wa kike kuhusu mahusiano bali tunawaonea aibu.
 
Hapa pia ndiyo sehemu ya wanaume wenzangu kuona umuhimu wa kuacha kutembea na hawa mabinti wa teens sababu level ya maturity na kimaadili ni ndogo sana

Yaani unamtongoza na anakukubali lakini ukifikiri kwa undani zaidi ni kama umemrubuni tu, si vizuri kabisa
 
Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikua anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikua naondoka mkoani kuja dar kutafuta Maisha..

Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikua nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni

Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa sim na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4

Na Ada nimelipa miaka yote mi nne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika,,hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisinge hangaika nalo..

Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani , nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee Tumbo kurudi nyumbani kwao

Kupata ujauzito haibadili maana kwamba ninyi ni ndugu, na wakati ukiwa na mawazo hayo jiulize kwamba wewe maisha yako ni safi kwamba hujawahi kurubuni wadogo za wenzio wenye umri sawa ama chini ya Umri wa mdogo wako?
 
Back
Top Bottom