Fact, watt wa kike wanapaswa kupewa elimu ya mahusiano soon wanapobalehe kwan ndo kipindi wanapotaka kujaribu kila kitu pia vishawishi vinakuwa vingi, inshort wanakuwa wapo out of their own control, thanks to my dady alinieleza haya bila hiyana siku zile nakua