Nilifanya ujinga kumsomesha mdogo wangu wa kike

Nilifanya ujinga kumsomesha mdogo wangu wa kike

Pole sana, watoto wa kike mtihani sana. Wachache sana waliotulia.

Nakushauri mkuu, msamehe tu arudi nyumbani na wala usihangaikenae na shule, mwache apike mpaka apate wa kumuowa. Coz akishaingia kwenye mahusiano hawezi acha.
 
Hapa pia ndiyo sehemu ya wanaume wenzangu kuona umuhimu wa kuacha kutembea na hawa mabinti wa teens sababu level ya maturity na kimaadili ni ndogo sana

Yaani unamtongoza na anakukubali lakini ukifikiri kwa undani zaidi ni kama umemrubuni tu, si vizuri kabisa
Ila hatujui aliyempa ujauzito ni nani huenda akawa ni mwanafunzi mwenzake.
Watu smart waliostaarabika hawawezi kufanya hvyo.
Mara nyingi wanaowapa ujauzito ni wanafunzi wenzao na wale vijana wa mitaani Kama madereva wa bodaboda.
Coz hao hawajuagi sheria za nchi zikoje hao ni mbele kwa mbele.
 
Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikua anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikua naondoka mkoani kuja dar kutafuta Maisha..

Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikua nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni

Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa sim na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4

Na Ada nimelipa miaka yote mi nne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika,,hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisinge hangaika nalo..

Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani , nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee Tumbo kurudi nyumbani kwao
Hii n moja ya changamoto kubwa kwa sasa.....Utandawazi unaharibu kizaz hiki..Pole sana ndugu yangu ni kukaa naye chini na kuongea naye anawaza nn baada ya kujifungua........Ishatokea huwezi kuzoa maji yakimwagika
 
Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikua anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikua naondoka mkoani kuja dar kutafuta Maisha..

Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikua nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni

Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa sim na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4

Na Ada nimelipa miaka yote mi nne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika,,hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisinge hangaika nalo..

Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani , nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee Tumbo kurudi nyumbani kwao
Hapo kwenye kutuma nauli kumenifikirisha sana, huenda kuna matapeli wanataka kukutapeli na mdogo wako hana hiyo mimba wala haumwi.

Hata hivyo siuamini huu uzi wako.
 
Sisi mdogo wetu wa kike tulishamwambia, ukifanya huo ujinga sahau kama una kaka.

Biti tuu hilo, atahamia kwa binamu zake ambao nao watamla nyama ya hamu... Sio tuu mtamsahau ad a yenu bali mtakuwa na bifu kati ya ndugu na ndugu.

Mtoto wa kike hatishwi, anaelimishwa na kuandaliwa kisaikolojia, tena kama nyie wakiume Ndo wakubwa, mwambieni siri zote za kisengee za kiume ili Hata akitongozwa ajue Haya kaka zake walishamwambia. Na akiwa mschana torokeni nae muende nae disco mumuoneshe ujana nyie kaka zake ili asidanganyike na wavulana kumtorosha disco (iwapo anapebda mziki).

Akifika umri wa kuanza kutumia kilevi mtoeni out mfundisheni unywaji salama iwapo ataonesha kiu ya kupenda kunywa pombe)

Bado baadae ya kufanya yote Haya huna guarantee Kuwa hatodanganyika na kudondoka... She is your sister give her courage to challenge other men outer there but akifika umri wa kuolewa awe marketable to suitable husband.

As a brother play your role sio kutumia vitisho na ubabe.

# SAMBAZA UPENDO.
 
Nilimuacha akiwa mdogo sana na alikua anasoma shule ya msingi wakati ule Mimi nilikua naondoka mkoani kuja dar kutafuta Maisha..

Miaka ilienda baadae akakua na akawa anaanza elimu ya sekondari , wakati huo Mimi nilikua nimeanza kupata vijihela kidogo nikaona ni bora dogo akasome private ili muda wake mwingi uwe ni shuleni

Ada kwa mwaka ni mil 1.6 amesoma miaka 4 mwaka huu alitakiwa amalize kidato cha 4 ,lakini napigiwa sim na mwalimu wake eti ana mimba tena ya miezi 4

Na Ada nimelipa miaka yote mi nne ,ni zaidi ya milion 7 imetumika,,hapa nawaza naona bora ningeliacha mapema nisinge hangaika nalo..

Mwalimu wake ananiambia tuma nauli mtoto arudi nyumbani , nimemwambia kama hawezi kutembea kwa miguu basi atembelee Tumbo kurudi nyumbani kwao
🤣🤣🤣🤣🤣 Pole sanaa.
 
Utapata hasira kama hivi unamsusa..
Mtoto wako wa kike unampeleka private ya garama zaidinya hiyo form two ana mimba...busara utakazotumia kusolve hilo la pili ndo zitumie katika huyu mdogo wako! Haya mambo huwa ni starehe ambayo kila mtu anaipenda, ila matokeo yake hakuna anaependa.
 
Own goal ina odds nyingi sana na mimi nataka nibet hapa nimsomeshe chuo mdogo wangu wa kike hela zangu zenyewe tiamaji tiamaji.
Teh....yena chuo mchane kabsa kwamba kule akitaka kuliwa aliwe ila asiachie kizembe hadi wafunge goal [emoji2]
 
Unalipaje ada yote?
We ushajitoa hapo mbona huna lawama oooh hawakunipeleka shule
 
Huwa nadharau sana mtu anayetembea na mwanafunzi kwanza nikikujua kama ni rafiki yangu hapo hapo nakuchana
Hapa pia ndiyo sehemu ya wanaume wenzangu kuona umuhimu wa kuacha kutembea na hawa mabinti wa teens sababu level ya maturity na kimaadili ni ndogo sana

Yaani unamtongoza na anakukubali lakini ukifikiri kwa undani zaidi ni kama umemrubuni tu, si vizuri kabisa
 
Tumboni kuna mjomba wako lkn,
Afu mtoto wa Dada ndio nduguyo kabisa sio changa la macho
 
Natamani ningekua na contact yako ningekushauri sana maana mm in mvivu was kuabdija
Ila nasena Mimi mwenyewe nilibeba mimba shule nikiwa kidato cha tatu
Ila mwanzo nilichukiwa na kila mtu na kuonekana Nina hatia kubwa sana kumbe kilichotokea mpaka Leo hua natamani Sikh zirudi nyuma kisinitokee ila baadae mama alikaa chini na mimi kuniuliza
Nilipomwambia alirudi nyuma na kunionea huruma na nilijifungua na kurudishwa shule nilisoma na kufaulu vizuri sana mpaka Leo. Nina mtoto wangu na elimu maana baba wa mtoto hata sijui ni nani na sijui aliko maana nilifanyiwa ukatili na MTU ambaye sikufanikiwa kuiona sura yake na ilikua ndio Sikh yangu ya kwanza kufanya kitendo kile.
Now. Mwanangu ana miaka 12 na miezi 6
 
Back
Top Bottom