Nilidhani ni story kumbe Kweli

Nilidhani ni story kumbe Kweli

Siwezi kukubishia sana coz inategemea ntu na ntu....kwa mimi nikihisi tu kuchapiwa lazima niondoke na sigeuki nyuma kamwe sasa kwa ambaye nimeprove kachapwa narudije kwa mfano....inahitaji ushujaa kuendelea kubaki na mwanamke ka huyo
Teh we wasema
 
Kuna jamaa angu tunafanya nae kazi sasa jana kaja ana simu ndogo mpyaa nikamuuliza vipi Ndugu simu yako ile smart ipo wapi?? Jamaa akasema demu wangu alikuta msg za mademu wengine akaivunja kisha kaitumbukiza kwenye maji... Aisee nilishangaa sanaa How yani??? How??? Afu jamaa hadi leo hajamwambia chochote kuhusu ile simu wanachat tu kawaidaa


Wadada Punguzeni visiraniii..!
Na mm kiroho safi navunja na yake tu basi sote tucheze gemu la nyoka
 
Nilikuwa na hasira na huwa sijali nikikasirika.... Alinipiga vibaya mnooo nakwambia nusu nife.... Ilifikia stage alinibana nikashindwa kupumua sijui nilipata wapi nguvu ya kusema "unaniuwaaa" akaniachia
Duh! Pole sana...Bila shaka hiyo simu alikuwa na uchungu nayo sana kuliko wewe.
 
Haahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu
Hazikua hasira nahisi, ila ulijaribu kupima maji kwa miguu miwili
 
Back
Top Bottom