Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,410
- 119,111
imebidi nirudi juu kuangalia stori inasemajeUtamfanyaje?
imebidi nirudi juu kuangalia stori inasemajeUtamfanyaje?
Haya umesharudi.imebidi nirudi juu kuangalia stori inasemaje
Cha kumfanya kitajulikana hapohapo kwa kweliHaya umesharudi.
Niambie sasa
Pole sana huu uzi umenichekeshaNini simu? Mimi nishavunjiwa TV inchi 52, laptop, kabati la vyombo na vyombo vyake, sofa lether zilichanwa chanwa na wembe, sigth mirrors, nguo na viatu kuchomwa Moto na hasala luluki. Kisa mchumba alikuta alikuta kitenge magetoni. Akapaniki Sana. Nilikuwa nimetoka kidogo kumsindikiza sister alikuja kunitembelea ila yeye sikumwambia. Kurudi nikakuta geto limekuwa torabora. Kumuuliza ananijia juu na kunikwida na kuanza kulalamika nimefikia hatua ya kuingizwa made zangu ndani. Kisa kitenge.
Nikamwambia subiri. Nikampigia sista akarudi maana hakufika mbali. Nikamwambia umesahau kitenge chako na ndio kimeleta dhahma yote hii. Akapigwa butwaa. Nilichofanya nikamwambia yule mchumba ingia kwenye ndinga tukaongee. Nikaenda nae mpka kwao nikamshusha na kumwambia asinitafute Tena. Hakukubali ila baada ya miezi kadhaa akakubali matokeo.
Kama unakosa unanyamaza tu.Cha kumfanya kitajulikana hapohapo kwa kweli
Mimi pia simu yangu ilipasuliwa dah nikikumbuka simu yangu still ilikua mpya..!!halafu cha ajabu zaidi sikua na kosa lolote ni mawazo hasi tuh ndo yalipelekea kupoteza simu yangu!!!Kuna jamaa angu tunafanya naye kazi, sasa jana kaja ana simu ndogo mpyaa nikamuuliza vipi ndugu simu yako ile smart ipo wapi? Jamaa akasema demu wangu alikuta msg za mademu wengine akaivunja kisha kaitumbukiza kwenye maji.
Aiseh! Nilishangaa sana how yani? How? Halafu jamaa hadi leo hajamwambia chochote kuhusu ile simu wanachat tu kawaidaa
Wadada punguzeni visirani.
Nilichukua simu yake akabaki na kiswaswadu mpaka leo hii simu yangu inaniuma sana nikikumbukaukafanyaje alipovunja??
Kwanini asiishike simu yako?Kwanza simu yangu huyo demu anashika ya Nini.. ?? Hilo ndio swali langu la msingi
Haahhhahahah nimecheka kwa jinsi ambavyo umesimulia ila huwa siamini ktk kumpiga mtu ndio suluhuNilikuwa na hasira na huwa sijali nikikasirika.... Alinipiga vibaya mnooo nakwambia nusu nife.... Ilifikia stage alinibana nikashindwa kupumua sijui nilipata wapi nguvu ya kusema "unaniuwaaa" akaniachia
Haahhhahahah nimecheka kwa jinsi ambavyo umesimulia ila huwa siamini ktk kumpiga mtu ndio suluhu
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app