Nilidhani ni story kumbe Kweli

Nilidhani ni story kumbe Kweli

Kwa kweli. Mimi mtu hawezi kunifanyia hivi akabaki salama
Mimi ulidukuliwa, halafu nikapigwa mikwara na matusi !
Hapo penye matusi nilishindwa, nikamwambia lete mashahidi wako naiandikaa.......aah ! Akaufyata mpaka leo.
 
duuh jamaa ako alijikaza sanaa

Alikua ana makosa
Halafu before alishakiri haitotokea tena
Afu alikua anacheat na katoto kadogo
Kakachukua namba kakawa kananipigia simu

Nikakausha nikaotea simu ya jamaa akawa anakana na hapo nimeshika simu na txt na picha naziona
Ile anataka kuninyang'anya simu nikaivurumisha ukutani..
 
Hahahahahahahah kwakweli mimi vituko vingi nishapitia na naona kabisa nikikaa kwa ndoa nitatulia sababu hakuna kipya
Mie mke wangu ananitishiaga nikim'piga atanivizia nimelaa ndo tumalizane ! Aiseeh naogopa sijawahi mpiga.
Ila nimegundua hapendi uke wenza, namtishiaga naenda kuoa, anakonda kabisa mpaka kula anashindwa.
 
Alikua ana makosa
Halafu before alishakiri haitotokea tena
Afu alikua anacheat na katoto kadogo
Kakachukua namba kakawa kananipigia simu

Nikakausha nikaotea simu ya jamaa akawa anakana na hapo nimeshika simu na txt na picha naziona
Ile anataka kuninyang'anya simu nikaivurumisha ukutani..
Alizinguaa kukudhalilisha huko.. Kudate na kitotoo afu kikaanza kukuletea dharau
 
Mie mke wangu ananitishiaga nikim'piga atanivizia nimelaa ndo tumalizane ! Aiseeh naogopa sijawahi mpiga.
Ila nimegundua hapendi uke wenza, namtishiaga naenda kuoa, anakonda kabisa mpaka kula anashindwa.
Atakuchoma kisu umelala au??
 
Mie mke wangu ananitishiaga nikim'piga atanivizia nimelaa ndo tumalizane ! Aiseeh naogopa sijawahi mpiga.
Ila nimegundua hapendi uke wenza, namtishiaga naenda kuoa, anakonda kabisa mpaka kula anashindwa.

Wewe umejua maana ya ndoa
Kuna vitu vidogo unaweza kutumia kumuweka mke sawa.

Yaani jua udhaifu wake baaasi sasa kuna wanaojisifia kupiga..🤣🤣🤣🤣

Mtoto mwenyewe ukimpiga anarudia kosa itakua mtu mzima?
 
Mie mke wangu ananitishiaga nikim'piga atanivizia nimelaa ndo tumalizane ! Aiseeh naogopa sijawahi mpiga.
Ila nimegundua hapendi uke wenza, namtishiaga naenda kuoa, anakonda kabisa mpaka kula anashindwa.
 
Idadi ya wanaume imepungua kwa kiasi kikubwa sikuhizi

Ova
 
Haahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu
Kongole kwa ex wako , huyo ndo kidume , hivi wanawake unapata guts wapi za kuvunja simu ya mwanaume ?
 
Hahahaaaa unaona mchezo ulivo mtamu sasa???!!haiwezekani uniumize afu mi niumize simu yako lazma nkuumize wewe tu....tena nikikufuma heri ujishushe unibebishe unidanganye na vi outing plus vihela ukinitunia ndio unaharibu
Yeah hii ni roho ya kikatili, kisasi na kiume... Mumeo kaingia jumba bovu hapa.
 
Umenikumbusha bwana mmoja Sinza,mwanae wa kike alitiwa mimba na mhuni tu mcheza viduku,muhhuni akajifanya kukimbia,jamaa akamtafuta kimyakimya akapamta,alimpiga risasi akamvunja mkono.
Anamvunja mkwe!
Anataka mjukuu wake ampate baba kilema
 
Haahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu

Baby
 
Back
Top Bottom