Nilidhani ni story kumbe Kweli

Nilidhani ni story kumbe Kweli

Hii statement ya mwisho imeandikwa wapi mkuu
Kwenye vitabu vya dini...ndo mana ndugu zetu waislamu wanaruhusiwa kuoa mpaka wanawake wanne...vipi ushawahi ona wapi mwanamke mmoja kaolewa na wanaume wawili zaidi at the same time
 
Kwenye vitabu vya dini...ndo mana ndugu zetu waislamu wanaruhusiwa kuoa mpaka wanawake wanne...vipi ushawahi ona wapi mwanamke mmoja kaolewa na wanaume wawili zaidi at the same time

Kuolewa a wanaume wawili tofauti no ila mahusiano zaidi ya wanaume watano at the same time yes nimeona n wote wanaridhika
 
Kuna kitu kinaitwa jela mkuu
Kuna muda "kitu na mtu" vinapaswa kufungamana ili maandiko yatimie. No way! Upige uhuni na binti yangu halafu unamdunda? Umemuoa? Lini? Fanyeni uhuni wenu kwa nidhamu. Hata mimi na shangazi yenu tulikuwa watundu ila hatukuuana wala kuumizana.
 
Mzee usimwone hana akili. Hata mie ningefanya kitu kama hicho hicho ujue mda mwingine ni kutokujali ili umpe MTU sababu ya kujitafakari. Usije shangaa unaambiwa jamaa kaua maana uwezi jua anawaza nini juu yake.
Haa ha ha.. kweli mkuu ndo maana me sikutaka kuendelea kuongea
 
Sasa kwanini kuvunjiana simu...kwani ukimvunjia simu ndo ataacha michepuko..wengine ukituvunjia cm akili yetu inatupeleka kukufanya kitu ambacho siku nyingine itakufunza usijaribu kusogelea kabisa simu yangu
Ofcoz ila huyu jamaa sijui ana Malengo nae au ndo kumpenda mpaka kazidisha
 
Haahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu
Na hadi leo upo na huyo bondia?kwan umeeleza kwa hisia,hakika ulichapika haswaaa😂😂
 
Siwezi thubutu aisee ingawa mkizingua itabidi tu mbio ninazo
Chukulia Me ya kikurya ikipigwa na Me yenzake km ni Mtoto au Mvulana hapewi msosi na hatapewa ushirikiano kifamilia hadi akilipiza kisasi kwa kumshinda aliyempiga, ndo iweje ss Me aletewe kiburi na Ke waliokutana ukubwani tu?

NB: sihalalishi kulipiza kisasi lkn nilichoongea ndicho nilichowahi kukiona nikiwa Mvulana.
 
Chukulia Me ya kikurya ikipigwa na Me yenzake km ni Mtoto au Mvulana hapewi msosi na hatapewa ushirikiano kifamilia hadi akilipiza kisasi kwa kumshinda aliyempiga, ndo iweje ss Me aletewe kiburi na Ke waliokutana ukubwani tu?

NB: sihalalishi kulipiza kisasi lkn nilichoongea ndicho nilichowahi kukiona nikiwa Mvulana.

Hopeful wameelimika kwa mda huu
 
Tulipokosea kdg tu tuliadhibiwa kwa bakora tukiwa wadogo na ilikuwa mwiko Mama kumfokea Baba zaidi ya kumsihi tu kwa upole atusamehe, ss hao wanaowafokea ninyi mnawatoa wp kwani nakati Watoto huiga tabia toka kwa wazazi waliowalea

Hiyo comment nimemjibu Jamaa m1 aliyeelimisha Wadau kuwa "Mwanaume hafokewi na Mwanamke"

Ss umeona nilichokuwa napinga kimetokana na nini
Hopeful wameelimika kwa mda huu
 
Yaani ndio mwisho wa yeye kuwa nami muda huo huo wala hatujadiliani chochote ni toka toka we eee!!! Kweli huyo jamaa ana mapungufu rahisi kukaliwa na mkewe
 
Hahaha tatizo sio uzuri ila umejiweka hapo kwa kiasi gani? Sio rahisi nakwambia wanaume wengi huwa mnasema ooh nikigongewa nasepa mnasepa kwa keyboards tu dear teh
Siwezi kukubishia sana coz inategemea ntu na ntu....kwa mimi nikihisi tu kuchapiwa lazima niondoke na sigeuki nyuma kamwe sasa kwa ambaye nimeprove kachapwa narudije kwa mfano....inahitaji ushujaa kuendelea kubaki na mwanamke ka huyo
 
Back
Top Bottom