The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,327
- 3,203
acha kudanganya watu ni ww, kweli ww ni popomaKuna jamaa angu tunafanya nae kazi sasa jana kaja ana simu ndogo mpyaa nikamuuliza vipi Ndugu simu yako ile smart ipo wapi?? Jamaa akasema demu wangu alikuta msg za mademu wengine akaivunja kisha kaitumbukiza kwenye maji...Aisee nilishangaa sanaa How yani??? How??? Afu jamaa hadi leo hajamwambia chochote kuhusu ile simu wanachat tu kawaidaa
Wadada Punguzeni visiraniii..!



