Poa mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
Ameikuta mwishoni, ya nyuma amesimuliwa
Poa mkuuBahati..No ya Afande umeiona Pm?
anhaaaBadala ya kuandika la Kwanza Bht mbaya ikatokea la 7
Halafu nahisi wewe nUna mahusiano yapi na Afande huyo, hadi kukupatia namba yake...!!? Au umemdanganya unawasiliana na WAANDISHI wa Habari, ili atoe USHUHUDA...?!
Muulize kwanza yeye ndie msemaji wa Jeshi la Polisi...?
Punguza kutoa POVU mleta Mada...Jasho na Mate yanakutoka kama JAMES una ugonvi nae.
Nenda nyumbani UKAPUMZIKE, waache Polisi wafanye kazi yao...![]()
![]()
![]()
Afadhali unisaidie Jf Kuna wajuaji sijapata ona.Ukiwapa Evidence wanakimbia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ameikuta mwishoni, ya nyuma amesimuliwa
mbona ameeleza vizuri mtoa mada, labda wewe ndio utakuwa umesoma kwa mihemko. ni somo zuri kujifunzaNi story ya kweli au umetunga? jana umeshuhudia na jana kutafutwa uhamisho? hapa kuna chumvi.
Sawa dingimbona ameeleza vizuri mtoa mada, labda wewe ndio utakuwa umesoma kwa mihemko. ni somo zuri kujifunza
Ni story ya kweli au umetunga? jana umeshuhudia na jana kutafutwa uhamisho? hapa kuna chumvi.
Kweli mkuuumesahau kitu kimoja, na jana hiyo hiyo uchunguzi umefanyika mtaani!
Kuna wakati Huwa nikitafakari uelewa wa baadhi ya Watu humu jukwaa ni napata tabu sana.Sijui kutaka tu Watu Na wewe wakuone umesema.Unatengeneza stori isiyo na kichwa wala miguu ili iweje? Hayo matukio mbona yameenda haraka sana?