Duuu acha ukali basiNjoo nikupe no.ya Afande Aliyekuwa kwenye hiyo kesi tunajuana.Halafu uje ulete la sivyo.Nisikuone Tena unaleta mihemkoo.Story Ni ya kweli wewe unapinga.Nidanganye unanilipa
hujamboeDuuu kumbe kasema hivi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nipo salama shem...Hujambo
hujui kuna watu ubishi wamechanjia? achana nae mtu kama huyo ni kumpotezea tuIkitokea Muda mjomba Na mtoto walitokea hiyo Siku Afande Ndo akawa anaelezeaaa.Nilishuhudia mtoto Na mjomba wa tukio.So soma vizuri usidandie tren
Nimejiuliza hiyo series ya matukio ya siku1Ni story ya kweli au umetunga? jana umeshuhudia na jana kutafutwa uhamisho? hapa kuna chumvi.
Kweli kabisa Ngoja nimuachehujui kuna watu ubishi wamechanjia? achana nae mtu kama huyo ni kumpotezea tu
Rudia kusoma Tena.Naona Kuna sehemu inasema ........Siku Hiyo Ni muendelezo wa tukio wenyewe ni kama ilishatokea Sasa wanasimulia.Imeonekana story ya Siku moja Baada ya kutoka mjomba Na mtoa Mada kumuona kwa machoKama umejichanganya hv? Mda wooote ulikua hapo? Hadi uhamisho unafanyika? Noooooo
safi mzima weweMambooo Eddy
Usidandie tren kwa mbele wewe.Rudia kusoma Tena,tukio lilishatokeaaaaaaaaaàaaaaaaaaaa!!!
Hapo ilikuwa kama Afande anasimuliaaaa.Jamani.Kuna Watu wanakera hapa
CheatingNimejiuliza hiyo series ya matukio ya siku1