Nilichoshuhudia POLICE Jana!

Nilichoshuhudia POLICE Jana!

Wasalaam!
Jana Nilikuwa Na ishu naifatila pale Police Mbezi.
Jamani,Tuwe makini sana Na Watoto wa kike Hasa wadogo tunaowachukua kwa Lengo la kuwalea au kuwatunza.
Mtoto wa kike miaka kama 6 au 7 tuchukulie Ni darasa la 7.Amebakwa!!

Tuwe makini jamani.Mana katoto nilivyokaona japo Ni Kadogo vijana wameshakakomaza kiasi kwamba Baada ya maaskari kupata ukweli Na kuuliza tena akakakiri 'kweli Ni Bodaboda James.Lakini kabla kulikuwa Mpaka kanapiga makofi kushadadia mjomba ashikwe.
Mleta mada wewe ni muongo, haiwezekani mtoto wa miaka sita au saba akawa darasa la saba na akawa kaishakomazwa.
 
Mimi nahisi mtoa mada kakosea maana darasa la saba ni miaka 12 au 13 ila miaka 7 ni lakwanza au la pili napia kwa fikira za kawaida mtoto wa darasa la kwanza hawezi sema uongo hata umtishieje mtoto mdogo ukiwa haupo atasema ukweli tu ila nahis kweli huyo mtoto atakua ni darasa la saba mtoa mada kasahau coz ukisoma unaelewa hivyo
 
Mkuu hii story umeikuta huko kituoni au umehadithiwa? Mbona unafull mkasa hadi mjomba kumpeleka mtoto kijijini?
Duh! Ila binti wa miaka 6-7! Inasikitisha sana..
 
Hata mm nashindwa kuelewa UchunguZi umefanyika kwa muda gani, kwa maelezo yako inaonyesha kila kitu kimefanyika jana na ww ukiwepo toka mjomba anasekwa rumande mpka watu wanaenda kuchunguza na mpka anatolewa hii yote ilikuwa jana tu, ina maana toka asubuhi we upo kituoni au na ww ulikuwa rumande
Pia mtoto ana,miaka7 anasoma darasa la 7
 
Ni story ya kweli au umetunga? jana umeshuhudia na jana kutafutwa uhamisho? hapa kuna chumvi.
Samahani.Nilikuwa busy kidogo kujibu.

Hii ni kweli kabisa.Yaani.Yule mjomba nimemkuta amekuja kwenye taratibu zingine za sheria na huyo binti imetokea wiki iliyopita.Mimi nilienda pale na mambo.mengine ndo maafande wakawa wanasimulia.Binti mtoto akiwepo na Mjomba mtu.(sina sababu ya kudanganya.Uhamisho ameanza kweli.Hataki hata kukaa naye
 
Story ya kubumba hii
Jamani typing error. Ni kweli.kabisa.Labda njoo Pm nikupe no.Ya afande au uende mwenyewe pale Mbezi luis police.Ni kweli njoo pm nikupe no.Akakusimulie Afande mwenyewe.Sipendi mtu aseme ni uongo wakati wahusika nimewaona wote.(inasikitisha kweli)
 
Kuna MTU aliwahi kusema kuwa mleta mada ni roboti
Haaa haaaa haaaa .Jamani jamani.Aiseee.Nimechekaaaa.Umewaza nini kusema hivyo.Josevereti,Eddy love,Nyagei ....come this way!
 
omba mungu tu akuepushie!!
kuna watu wengi sana wamefungwa..wanalilia haki zao huko jela
kuonewa kusikie tu hivihivi.
Huyo mjomba sasa ukimuona hiyo jana.Amevaa zile nguo za kudarizi.Mdogo mdogo hivi rafudhi ya Kingoni.Balaa tupu.Miaka 30 isikie kwa mwenzioo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom