GuDume.Naomba uwe serious kidogo basi Na badilisha Iyo Avatar yako inanitisha

.Kwa Heshima Na taadhima Naomba umPm. Sr erica .Hili Ni tukio la Kweli.Au nenda mbezi Shule ya Mavurunza Kule Kimara onana Na Mkuu wa Shule.Ulizia tu kuhusu mtoto aliyemsingizia mjomba wake kubakwa Na Sasa yupo Kituo cha Ustawi akisubili transfer. Jifanye Pengine umesikia Na una Lengo la kumsaidia mtoto.Baada ya kupata ukweli urudi tena Hapa kusahihisha.
Huwa napata tabu sana kukufikilia huenda Pengine Ni kati ya watu waliofukuzwa Kazi kwa vyeti feki Sasa una Stress sana.Kwa nini huwa unapenda kupotosha??? Na chuki juu Tena kwa vitu usivyokuwa Na uhakika navyo.Ukiambiwa Evidence huna kama kipindi Kule ukawa unashadadia vitu usivyokuwa Na uhakika navyo.
Hii Ni tabia mbaya sana kuwa nayo Mwanaume anayejielewa.
Kawaida Yangu Mimi MTU akinibeep kama unavyojaribu kufanya kuwa Napiga!!
Tuheshimiane kama ninavyokuheshimu.Najua Na kutambua nia ya jukwaa hili Sio chuki ama kuchafuana Ni kuelimishana Na kuburudika Na kama una chuki binafsi Ni bora ukaja Pm ukanielezeaa.Nipo Tayari kurekebisha kama nakukwaza but don't provoke me!!!!!!
Sent from my Solar 5 using JamiiForums mobile app