Mkuu history ni ya ukweli,mjomba kawekwa selo siku nne kwa sasa mtoto yuko ustawi wa jamii.kwani mtoto aliendeleza visa alipotoka ndio dawati likaamuru mtoto asikae na mjomba make uhamisho wa shule utakapo kamilika na arudishwe kwao njombe.Una mahusiano yapi na Afande huyo, hadi kukupatia namba yake...!!? Au umemdanganya unawasiliana na WAANDISHI wa Habari, ili atoe USHUHUDA...?!
Muulize kwanza yeye ndie msemaji wa Jeshi la Polisi...?
Punguza kutoa POVU mleta Mada...Jasho na Mate yanakutoka kama JAMES una ugonvi nae.
Nenda nyumbani UKAPUMZIKE, waache Polisi wafanye kazi yao...![]()
![]()
![]()
Yaani.Hata Huyo Afande wakati anasimulia akasema jani kweli Sio wote wanaofungwa wametendaa.Ila kilichomsaidiaa mjomba mpaka kuonewa Huruma.Ni kulia mfululizooo Bila kukoma.Mungu akamwona akamsaidia