Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Poa jombaaPoa.Uliziaa tu mjomba aliyesingiziwa kwenda Jela.Jina nakuja Pm
Poa jombaaPoa.Uliziaa tu mjomba aliyesingiziwa kwenda Jela.Jina nakuja Pm
Yaani.Hata Huyo Afande wakati anasimulia akasema jani kweli Sio wote wanaofungwa wametendaa.Ila kilichomsaidiaa mjomba mpaka kuonewa Huruma.Ni kulia mfululizooo Bila kukoma.Mungu akamwona akamsaidiasi kila aendae jela na makosa wengne huenda kwa makosa ya kusingiziwa

Afande Huyo Nilikuwa Na Kazi naye.Ikalazimika niwe Na no.yake Na pia alihusika kuunda time.So hapo ilikuwa kama anasimulia Na walikuwepo Watu wengi.Na Baada ya timu kupata ukweli kwamba mjomba ahudlsiki akawa anasimulia kama onyo. Ni kweli ndugu Yangu.I swear.Una mahusiano yapi na Afande huyo, hadi kukupatia namba yake...!!? Au umemdanganya unawasiliana na WAANDISHI wa Habari, ili atoe USHUHUDA...?!
Muulize kwanza yeye ndie msemaji wa Jeshi la Polisi...?
Punguza kutoa POVU mleta Mada...Jasho na Mate yanakutoka kama JAMES una ugonvi nae.
Nenda nyumbani UKAPUMZIKE, waache Polisi wafanye kazi yao...![]()
![]()
![]()
Ni story ya kweli au umetunga? jana umeshuhudia na jana kutafutwa uhamisho? hapa kuna chumvi.