Nilichoshuhudia POLICE Jana!

Nilichoshuhudia POLICE Jana!

Kweli Nimeamini JF Ni Taifa kubwaaa.Na Aksante sana kunisaidia.Kuna MTU humu anaitwa Babati Sijui Nani..Wamebishaaaa wanabisha Na kupotosha juu.Haya nikaenda Pm nikawapa Mpaka no.Wanaogopa kupiga Eti kwa usalama Wao.Aiseee Tuna safari ndefu.Hivi katika akili ya kawaida nidanganye kisa hicho kwa faida ya Nani.Ndugu Yangu popote ulipo.Ubarikiwe.Kweli Mimi nilikaona hako katoto kanahuzunishaa.Na pia nawaza future yake kwa umri wake Na mambo yaliyomtokea.Halafu Na mjomba anamrudiaha kijijini hana wazazi.Mungu amsaidie mtoto.Walimwengu wamemkuza mtoto Na Wala Hajui alitendalo
Hao wanaobisha kwa hoja nyepesi wazoee.kwa sasa mtoto bado yuko Mbezi mwisho,barabara ya lami kwenda goba kuna kituo cha watu wa ustawi wa jamii.pale kwenye uwanja umetizamana na shule unaweza ukampata mtoto.ukifika uliza aliye mpa kesi ya kubaka mjomba afisa wa ustawi atakuitia but uwe na lugha za staha na ushawishi.
 
~~>>Hii habari sio ya kweli... Ni ya kutengeneza...... Matukio yote hayo yamefanyika siku moja hadi la kumhamishia Kijijini ..... Na yote yamefanyika ukiwepo.
 
~~>>Hii habari sio ya kweli... Ni ya kutengeneza...... Matukio yote hayo yamefanyika siku moja hadi la kumhamishia Kijijini ..... Na yote yamefanyika ukiwepo.
Soma tena wewe
 
~~>>Hii habari sio ya kweli... Ni ya kutengeneza...... Matukio yote hayo yamefanyika siku moja hadi la kumhamishia Kijijini ..... Na yote yamefanyika ukiwepo.
Penda kutafuta maarifa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada atakuwa darasa la sita au la saba. Yaaani amekaa akaona aibuke na kistori cha kipuuzi kama hiki. Ukiangalia tu uandishi wake na kastori kake unacheka maana ni mtoto kweli. Kastori ka kubumba hasa... Anadhan na sisi ni hopeless kama yeye.... Ha ha ha... Nacheka kwa dharau sana.
 
Story ameipata jana akiwa kituo cha polisi.jana hiyo hiyo ukwel woooote umefahamika na akaacha mjomba anamtafutia uhamisho....huyu mtu anadhani na sisi veelazer kama yeye....

Ni story ya kweli au umetunga? jana umeshuhudia na jana kutafutwa uhamisho? hapa kuna chumvi.
 
Hyo story nahisi kama niyakutengenezwa kulichafua jeshi letu
 
Whether hii story ni ya kweli au uongo, ukweli mchungu ni kuwa si vyema kukaa na mtoto wa ndugu kwa sababu yoyote ile. Kama unataka kumsaidia basi msaidie akiwa kwao huko huko. Nakuambia utaheshimika sana. Nimejaribu maishani mwangu nilikoma, tena nikamrudisha kwao fastaaaaa. Tangu siku hiyo nimejiapia sitaki mtoto wa ndugu. Over.
 
Ni story ya kweli au umetunga? jana umeshuhudia na jana kutafutwa uhamisho? hapa kuna chumvi.
Kumbe Polisi wanaachia watu wanaolia kwa kwikwi?
Huko mtaani walijuaje kuwa suspect ni Dereva wa Bodaboda?
Kuanzia wana anza uchunguzi hadi kumbaini mtuhumiwa je binti alikuwa bado hajaoga muda wote huo na kuharibu upelelezi?
 
omba mungu tu akuepushie!!
kuna watu wengi sana wamefungwa..wanalilia haki zao huko jela
kuonewa kusikie tu hivihivi.
Yes na kwa kiasi kikubwa Kesi za Ubakaji kule JELA watu wamepewa.. nikiwahi kukaa huko Jamaa anakusimuliaaa unafeel
vibaya sana

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Wasalaam!
Jana Nilikuwa Na ishu naifatila pale Police Mbezi.
Jamani,Tuwe makini sana Na Watoto wa kike Hasa wadogo tunaowachukua kwa Lengo la kuwalea au kuwatunza.
Mtoto wa kike miaka kama 6 au 7 .Amebakwa!!

Sasa kisanga hicho kikataka kumgeukia Mjomba MTU anayeishi naye,Baada ya Huyo mtoto kubakwa Na kupimwa kubainika kabakwa,ma jirani wakaripoti police,Baada ya police mtoto huku akilia akawa anamtaja mjomba wake. Kama ujuavyo Police hawana ajizi wakamsweka Ndani.Mpaka ile Jana ilikuwa mwendelezo wa mjomba MTU kuona kuozea jela kwa miaka 30.

Sasa,Baada ya mjomba MTU kuweka mahabusu Ili utaratibu uanze kufuatwa mjomba MTU akiwa Hajui wala haamini kilichomtokea inasemekana alikuwa analia Kilio mfululizo Bila kukoma Na huku akimuomba Mungu akiapa 'Jamani sijambaka Huyu mtoto sijambaka Huyu Mtoto Mungu Wangu anashuhudia'akaliaa akaliaaa anaomba.

Afande mmoja wa kike akaomba suala hili lifuatiliwe kwa makini mtaani anakoishi mjomba MTU Na Mtoto Ili kupata ukweli.Kamati ikaingia mtaani.Ndo kuja kubaini Ni kijana Bodaboda aitwae James ndio aliyembaka Mtoto Na kumtisha Mtoto aseme Ni mjomba.Na Ndio mjomba kutolea.

Hivi Sasa mjomba MTU anafanya utaratibu wa kumhamisha Mtoto Shule narudi kijijini.Maana ameponeaa tundu la sindano ukitegemea mjomba MTU ameoa.
Tuwe makini jamani.Mana katoto nilivyokaona japo Ni Kadogo vijana wameshakakomaza kiasi kwamba Baada ya maaskari kupata ukweli Na kuuliza tena akakakiri 'kweli Ni Bodaboda James.Lakini kabla kulikuwa Mpaka kanapiga makofi kushadadia mjomba ashikwe.
Hadithi hii inavutia Sana

Sent from my E5633 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada atakuwa darasa la sita au la saba. Yaaani amekaa akaona aibuke na kistori cha kipuuzi kama hiki. Ukiangalia tu uandishi wake na kastori kake unacheka maana ni mtoto kweli. Kastori ka kubumba hasa... Anadhan na sisi ni hopeless kama yeye.... Ha ha ha... Nacheka kwa dharau sana.
Cc
Sr erica

Sent from my Solar 5 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom