Wala usijalaumu sabb kila shetani na mbuyu wake.Kweli nimeamini
Nishaupitia mkuuMajibu yako yapo hapa hapa utafute Uzi wa hhhj unaitwa POLE SANA DADA
Ahsante mkuu,uyasemayo ni ukweli mtupu.Wala usijalaumu sabb kila shetani na mbuyu wake.
Huenda hata yeye angekuacha pia. Hebu tujiulize baada ya kumuacha, alikutana na huyu aliyempa mimba? Kwa kiufupi huenda alipitia mahusiano kadhaa kabla ya huyu mwenye mimba.
MAPENZI NI HISIA, NDIYO MAANA UNAMPENDA SANA MTU HALAFU HUYO HUYO BAADAE UNAMCHUKIA SANA.
Ila siku zote mheshimu, mjali na umpende anayekupenda. Mwanaume akipenda ni tofauti na mwanamke. Mwanaume ni kama nyoka mwenye sumu kali sana, kwahiyo ukiona nwanaume anakupenda, anakujali na ni muwazi kwako.(Na mwanaume anayekupenda huwa kwake sex huwa haipi kipaumbele sana, hata ukimnyima hawezi kukulaumu) Inabidi ushikamane sbb hawezi kukudhuru kwahiyo ukimwacha ukakutana na nyoka wenye njaa (huyu ratiba za sex huwa hazikatiki)huyu atakupenda kwa ajili ya sexy, akishafunua hata km upate mimba yy hajali. Ataondoka zake
Asanteheheh,mkuu pole yako.utapat kam uyo
haya mambo hawa wa upande wa pili aka ke hawatakaa wajifunze. ndivyo walivyoMbona bado ukifikisha miaka 30+ ndio utajua kwanini baiskeli haitumii mafuta
Tutajifunza tuhaya mambo hawa wa upande wa pili aka ke hawatakaa wajifunze. ndivyo walivyo
tusisubiri kesho tujifunze na tuwafunze wenzetu sasa hivi. hakuna jipya chini ya jua. ila makosa hutokea.usijute sana.kama ulisepa ina maana hukutaka kuwa nae. hakukufaa. hukumpenda. chelea kisela tu.Tutajifunza tu
Yeah acha ibaki storitusisubiri kesho tujifunze na tuwafunze wenzetu sasa hivi. hakuna jipya chini ya jua. ila makosa hutokea.usijute sana.kama ulisepa ina maana hukutaka kuwa nae. hakukufaa. hukumpenda. chelea kisela tu.
Sina budi kufanya hivoMshukuru mungu kwa kila jambo
AsanteWapo wengi kama ww ...
hongera kwa kuwa mkweli
Ulimbwaga kwa sababu za kiuchumi?Kweli nimejilaumu sana ukizingatia me ndo nilimbwaga
Mwanamalundi, umeona waliojiokotea mapwenti kwenye hii topiki wanavyokomenti? Huyu kaona awsubiri kwenye kona hapo baadaye, lakini kona yenyewe ni ile wakati ameshang'ara na watarudi tu....