Nilichokutana nacho jana sina hamu

kilichokuuma ni nini? Kama ni neno 'MZINGUAJI' mbona Mleta mada mwenyewe kakiri kuwa yeye ni MZINGUAJI. Polee
Sio kwamba mzinguaji ndo nature yangu nop kwa jamaa tu ndo nilimzingua lakini sio kwamba ndo katabia kangu ko kunita mzinguaji unakosea
 
Kuna wimbo wa Lady JD naufahamu tu Chorus yake aiseeee, simbo wenyewe wa zaman lakini huwa naupenda sana sana. Mwenye kuufahamu anijulishe, maneno ya kwenye Chorus ndio haya

"Usikatae akikuita, labda kesho yatakukuta, dunia......"
Dunia ya badilika..
 
Na mwaka huu mtapanda haice adi mkome.

Kuna dada mmoja yupo crdb nilimfuataga sana akaniblock nikampotezea, chaajabu nakutana nae nahisi atakua anaumia kama huyu mleta uzi!

Kipind namfwata nilikua napark gari mbal namfuata na kumsindikiza by TZ11 thn narudia usafiri nasepa.

Nadhan hii itakua sawa, akitokea wa kupata iyo bahati ndo ale mema ya nchi[emoji39]
 
HONGERA KWA MAAMUZI MAGUMU ULIYOYAFANYA SIKU ZA NYUMA
 
Nimependa unavyotumia jina lako halisi sio Kama wengine humu
 
Majibu yako yapo hapa hapa utafute Uzi wa hhhj unaitwa POLE SANA DADA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…