Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

Mungu wangu moja.........hata siamini....hv akiingiza inaingia kweli......hata kusimama itasimama kweli kwa ndugu yako......pole sana davina........

Naogopa haya hapa
1.mwenendo wake na hiv
2.jinsi ya kutoa ushauri....mzee wa miaka 47.......tena kiongozi nina uhakika atakua ni ccm
 
Last edited by a moderator:
Mi nakushauri usiondoke kabisa, kuna mambo ya ajabu zaaidi ya hayo humu duniani, jitahidi kumkalisha na kumwambia anayofanya siyo vizuri,mtishie hata kumsemea kwa wazazi wa huyo mtoto, na kama atazidi mwambie utamtoa gazetini,mtishie tu,coz viongozi wanaogopa sana magazeti.
 
davina

Kuondoka nyumbani SIO SULUHU, ni kuyakimbia matatizo.

Unachopaswa kufanya ni, kama wewe ni Mkristo, ninaamini ni hivyo, ni kwenda kwa Kiongozi wa Kanisa aliye karibu nawe. Mwite, aje nyumbani, awasikilize kila mmoja kwa wakati wake, kisha mkae kwa pamoja.

Mzungumzie matatizo yenu, muyakabili, mfanye maombi. Msameheane, muanze upya.

Kuna mambo ambayo mlipoanza maisha mlikuwa mnayafanya, lakini sasa hamyafanyi. Jiulize, kwa nini?

Mojawapo ya mambo ambayo hutokea kwenye familia nyingi - za Kikristo au Kiislam, au hata kwa wale walio katika imani tofauti - ni kuacha kumtumikia Mungu. Watu hawaendi kufanya Ibada, wanazembea, wanasema: Niko busy na maisha.

Kumbuka alivyoimba Bushoke: Hayo maisha yasije kukuchanganya, ukaabudu wengine ukamwacha Mola.

Nini maana yake? Kumwacha Mola ni nini?

Unapoacha kumtumikia Mungu, imani yako inashuka, Shetani anapata mwanya MKUBWA wa kukuingilia, kisha unapotoka. Unakosa woga mbele ya Mungu. Shetani anakupa imani ya uongo. Unajiona mwenye nguvu kumbe umeingia SHIMONI kwenye giza tororo! Hujijui. Unaanza kumdharau mumeo/mkeo. Unatamani wanawake/wanaume wasio wake/waume zako. Unazini. UMEKWISHA.

Lakini Mungu ni Mwema, kwani ni Mwingi wa Kusamehe. Kwa wale wote wenye imani au wasio na imani, wakiamua kutubu na kuungama kwa Mungu, husamehewa dhambi zao, ambazo hufutwa, nao huzaliwa upya.

Ukiondoka na kwenda nyumbani, Shetani ataukaza kabisa moyo wako. Huyo anayekuambia uondoke uende nyumbani HAMJUI MUNGU! Anakupotosha.

Kwani kuna binadam gani ASIYEKOSA? Jiulize: Unapokata tamaa kwa huyo mume wako, je, Mungu amekuvumilia wewe kwa makosa yako kwa muda gani?

Sikufahamu, lakini huu ndio naona kuwa ni ushauri bora kwako, kwani HAKUNA KINACHOSHINDIKANA kwa Mungu!

Ukae kwa amani, Mtumishi wa Mungu.

Nakutakia kila la heri kwenye ndoa yako. Mbarikiwe. Mumrejee Mungu na mdumu daima kwenye ndoa yenu takatifu.

Alichounganisha Mungu hapa duniani na mbinguni, asitengue binadamu!

Amina!
 
Last edited by a moderator:
Dawa ni kukaa kimya tu, wala usimuulize kitu, utakuwa unamuumiza kuliko maelezo

Unasema kwa maneno marahisi sana.....hAya akae kimya hadi lini?, hujasoma kuwa ndio tabia yake? Kukaa kimya ndio tatizo zaidi bora afanye atakachofanya mwenyewe
 
mh pole dad, umeolewa na cd la kiume,

kabila gani hao
kama warabu binamu ni mke.
Mh mimi nakushauri usiondoke zungumza naye na umkanye na sasa umwangalie kwa karibu zaidi.
huyo atakuwa mngoni aisee
 
Hapo walikuwa wamekwishaanza huo mchezo kitambo na ulipowakuta walikuwa wanapashana joto tu,haiwezekani ukamwacha mumeo hivi hivi tu maana kama anaweza kula mtoto wa shangazi basi huko mtaani ujue wanaliwa wengi,chukua hatua mapema kabla familia yako haijaangamia.
 
Chunga sana maamuzi utakayoyachukua kipindi hiki cha hasira wapo wengi waliofanya maamuzi wakiwa na hasira na sasa wanajuta pia angalia na washauri watakaojitokeza sio wote wanaopenda maisha yenu ya ndoa.
Mungu akusaidie katika kipindi kigumu unachokipitia
 
dada yangu kwani sikuhizi lazima ukae na mume ndio uishi? be yourself and live as if u don't see anyone to help...kwa dunia ya leo hakuna kukaa na kuvumilia ujinga wa mtu..siku akikuletea UKIMWI hapo kitandani ndio utajua la kufanya shaurido......

Canganya na za kwako utapata jawabu
 
naamini kwa uwezo wa mungu mko wazima!

napenda kuwashukuru sana kwa michango yenu ambayo huwa mnatoa humu mm n mdau japo huwa siyo mchangiaji sana lakini siyo mara ya kwanza kuleta matatizo yangu hapa na mkanisaidia,

kama utaweza kupitia topic zangu za nyuma utanielewa vizuri ila leo nimekuja na lingine
nimeolewa nina mtoto mmoja ana miaka 5 nimeolewa miaka 7 iliyopita, kipindi chote cha maisha yangu ya ndoa nimepitia mambo magumu sana kutokana na tabia ya ufataki aliyonayo mume wangu lakini mungu amenisaidia mpaka hapa nilipo,
, kama wiki 3 zilizopita kuna mtoto wa kike wa shangazi yake na mume wangu alikuja nyumbani kama kawaida huwa anakuja kutusalimia then anaondoka ila safari hii akawa amekaa sana nkamuuliza vpi unarudi au umekuja mjini kwa lengo gani akaniambia amechoka kukaa kijijini bora akae nyumbani anisaidie kazi za nyumbani nikamwambia sawa, tumekaa nikaona tuna shida ya mfanyakazi katika biashara yetu na yeye kwa elimu yake ndogo hiyo kazi anaiweza, basi nikamweleza mume nae akakubali tukaona kuliko akae nyumbani na kuna msichana wa kazi haina sababu, basi jana kaanza kazi na hiyo kazi anafanya hadi saa nne usiku then wanarudi na mjombaake ( yaani mume wangu)

jana usiku saa nne nikiwa ndo nataka nijilaze kitandani nilisikia gari la mume wang akiwa anarudi coz najua mlio wake, basi nikakaa kama dk 10 gari ipo nje nikajiuliza mbona hafungui geti aingize gar akili ikanijia labda anaongea na simu, nikalala zangu kama dk 20 mbele bado gari ipo silent nje, nikaamka nikatoka nje nikafungua geti taratibu nilishuhudia mume wangu akikisiana na huyo mtoto wa shangazi yake,niliishiwa nguvu nikamsogelea kuwaangalia vizuri bint akashtuka sana akataka kukimbia akashuka kwenye gari, nikamuuliza mnafanya nini hapa akaniambia wanafanya mahesabu nikamwambia mbona giza ebu leta hilo daftari la mahesabu mnalofanyia, akababaika akamuita yule bint akamwambia leta daftari akakimbia ndani chumbani kwake akajifungia akalala, nilistaajabu sana sikuamini nilichokina, mume wangu akaingiza gari ndani akaja chumbani jasho linamtoka sikumsemesha wala kumuuliza chochote nikalala,

leo asubuhi nilipoamka nikamwamsha yule binti nikamwambia ajiandae arudi kwao kajiandaa nikampa nauli nikamwambia asije tena nyumbani kwangu.
wapendwa kichwa kinaniuma na kinachoniuma siyo kuwakuta katika hali ile ila roho inaniuma mume wangu alipofikia ukiangalia yule binti ni ndugu yake wa damu kabisa ana miaka 17 tu, mume wangu ana miaka 47 mtu mzima, nimefikiria cha kufanya nakosa sina wa kumueleza naogopa mume wangu ni kiongozi nikisema kwa watu ni aibu natamani nifungashe niende kwanza nyumbani kwetu kwani naishi mbali na wazazi labda huyu mume atabadilika nikiondoka au nifanye nini msaada wenu jamani

Huyo mumeo ana pepo la ngono...! Kama anaweza kuthubutu kumendea ''binti yake'' mwenyewe, atashindwaje kutembea na dada zako wewe, mama zako wadogo, shangazi zako na ukikaa vibaya huyo anaweza kula hata mama mkwe huyo! Watch out!
 
na mtoto wa shangazi yake?
kuna siku atakuja kumlala bintiye!pole mamii
ila kuna mijitu sijui imemwagiwa ----- kwenye pichu zao!
ah!
 
  • ....Pole sana lakini usisahau kwamba ndoa ndoano.........
  • .....mvumlivu hula mbivu...
  • .....hakuna kipya katika dunia hii...
  • mume wako hajaanza yeye... kuna watu wanamatatizo kuliko ya kwako .....ukismuliwa ya wengine ni magumu zaid......huwez kuamni.... afadhali hata ya kwako.....
  • Uamuzi uliochukua wa kumuondoa huyo binti n wa busara na kabla hujachukua hatua nyingine...
  • Hatua kubwa kuliko zote unazotakiwa kuchukua ni kuonyesha upendo kwa mumeo... na ya pili mtishie (mpige mkwala) kwamba unamripoti kwa wazazi wake na wazazi wa huyo binti umsikie atasemaje... lakini iwe ni kitisho tu usifanye hivyo...
  • Mumeo atabakia kuwa mumeo.. huna jinsi.... muombe Mungu.... iko siku atabadilika.....
 
nimeolewa nina mtoto mmoja ana miaka 5 nimeolewa miaka 7 iliyopita, kipindi chote cha maisha yangu ya ndoa nimepitia mambo magumu sana kutokana na tabia ya ufataki aliyonayo mume wangu lakini mungu amenisaidia mpaka hapa nilipo,
, kama wiki 3 zilizopita kuna mtoto wa kike wa shangazi yake na mume wangu alikuja nyumbani kama kawaida huwa anakuja kutusalimia then anaondoka ila safari hii akawa amekaa sana nkamuuliza vpi unarudi au umekuja mjini kwa lengo gani akaniambia amechoka kukaa kijijini bora akae nyumbani anisaidie kazi za nyumbani nikamwambia sawa, tumekaa nikaona tuna shida ya mfanyakazi katika biashara yetu na yeye kwa elimu yake ndogo hiyo kazi anaiweza, basi nikamweleza mume nae akakubali tukaona kuliko akae nyumbani na kuna msichana wa kazi haina sababu, basi jana kaanza kazi na hiyo kazi anafanya hadi saa nne usiku then wanarudi na mjombaake ( yaani mume wangu)

jana usiku saa nne nikiwa ndo nataka nijilaze kitandani nilisikia gari la mume wang akiwa anarudi coz najua mlio wake, basi nikakaa kama dk 10 gari ipo nje nikajiuliza mbona hafungui geti aingize gar akili ikanijia labda anaongea na simu, nikalala zangu kama dk 20 mbele bado gari ipo silent nje, nikaamka nikatoka nje nikafungua geti taratibu nilishuhudia mume wangu akikisiana na huyo mtoto wa shangazi yake,niliishiwa nguvu nikamsogelea kuwaangalia vizuri bint akashtuka sana akataka kukimbia akashuka kwenye gari, nikamuuliza mnafanya nini hapa akaniambia wanafanya mahesabu nikamwambia mbona giza ebu leta hilo daftari la mahesabu mnalofanyia, akababaika akamuita yule bint akamwambia leta daftari akakimbia ndani chumbani kwake akajifungia akalala, nilistaajabu sana sikuamini nilichokina, mume wangu akaingiza gari ndani akaja chumbani jasho linamtoka sikumsemesha wala kumuuliza chochote nikalala,

leo asubuhi nilipoamka nikamwamsha yule binti nikamwambia ajiandae arudi kwao kajiandaa nikampa nauli nikamwambia asije tena nyumbani kwangu.
wapendwa kichwa kinaniuma na kinachoniuma siyo kuwakuta katika hali ile ila roho inaniuma mume wangu alipofikia ukiangalia yule binti ni ndugu yake wa damu kabisa ana miaka 17 tu, mume wangu ana miaka 47 mtu mzima, nimefikiria cha kufanya nakosa sina wa kumueleza naogopa mume wangu ni kiongozi nikisema kwa watu ni aibu natamani nifungashe niende kwanza nyumbani kwetu kwani naishi mbali na wazazi labda huyu mume atabadilika nikiondoka au nifanye nini msaada wenu jamani

"Pedophilia is the psychiatric disorder characterized by act or fantasy where an adult engage in sexual activity with a child or children."

Your husband is 'pedophilic'...Huu ni ugonjwa wa akili kabisaa na kuna jinsi ya kuutibu kwa Psychiatrist, he needs professional help. Ongea naye, au shirikisha rafiki zake, ndugu zake (shangazi mwenye binti)..ili apate msaada wa kisaikolijia...au jela inamuita! Inaaminika R.Kelly naye ana tatizo hili, possibly na marehemu Michael Jackson (he was more of a fantasy though).

NB: Stop that circle...other wise mwanao (kama ni wa kike) could one day become a victim. Au hata mtu mwingine anayekuhusu sana atakuwa victim. Kwa wenzetu ulaya pedophilics huwa wanakuwa announced kabisa public ijue na anafuatiliwa maisha yake yote...because it tends to reccur even after treatment.
 
Back
Top Bottom