Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

Mwanzisha mada ulishawahi kuisaliti ndoa yako mara ngapi?
 
sawa asante kwa ushauri wako

Kama ukisechi rohoni bado unampenda usiondoke kabisa utakosa haki zako hapo na mengineyo. jipange ukitaka kuondoka bila kufikiria utajikuta unaletewa mke mwenza ndani ya nyumba na wengi watasema ni kosa lako.

hapo ni kwenu na utapata mwenza atamiliki yenu yote utaishia kuangaika na maisha imewatokea wengi kwa hiyo tabia eti niende kwetu sijui nikapumzike acha kabisa, najua ina uma ila sasa kwa tabia ya mumeo anza kujipanga ujue kila kitu chenu kipoje nasema hati za kila kitu kama haujui zilipo for incase.

Huyu anahitaji sala, nasema tena kama unampenda haswa basi usiachie nyumba yako atakumaliza.

Ila na huyu mtoto kweli ni mtoto wa damu wa huyo shangazi? embu fatilia vizuri maana kama ni kweli basi anahitaji maombi. ukikaa ukasumulia ukatafuta ushauri mwisho ni wewe na Mungu my dear.

Pole sana haya mambo yanauma.
 
Ninependa kuwa tofauti na mawazo ya wengi ukiwepo pia......katika maisha ya mwanadamu kuna vitu flani flani na vidogo vidogo ambavyo hupewa kipaumbele tena mkubwa na istoshe kwenye dunia ya leo ya ustaarabu! Lakini ikiwa hivi vyote jamii imevipa mipaka yake na vipaumbele vikubwa, ukija kwa watu binafsi unaweza kuona dhahiri wao kisiri au kiuwazi hawavipi nafasi yeyote ktk maisha yao inafikia mahali kweli mtu anampenda mkewe sana tena sana lakini kipaumbele chake binafsi ni tamaa na ndio maana hata ukirudi nyuma utaona kuwa mumewe jasho lilimtoka tena akababaika........ Kiufupi mpe mwanya wa kujikusanya usifanye maamuzi yeyote kwa sasa endeleeni kuwa silent kwa muda then mtapata suluisho....kingine usiumize sana akili kwa jambo uliloliona kwa mwanaume na tamaa za kichwani ni jambo lisilo la kutisha lakini kwa mwanamke na tamaa za moyoni ni kilio na jambo gumu so relax things will give for themselves!
 
asante kwa ushauri wako,

wewe huyu anakujaza sumu.......mpende mumewe ila kwa kipindi hiki mwaadhibu kisaikolojia kwa kuendesha maisha kama kawaida bila ya kumuuliza neno then unote changes na uone atajiteteaje......
 
huyo kiongozi fataki mtaje tu tumjue tabia zake
huyo atakuja hata kutembea na mwanenu kama ni wa kike
naona hapo hata shetani anatushangaaa.....................
hebu ishu hii ita wazee wako na wake pasua ukweli kijeba kiumbuke
itakuwa mwisho wake kukufedhehesha,ataomba radhi atatubu maisha yatasonga.
 
Ah! sipati picha ndoa hizi jamani kweli ndoana!

binti ana miaka 17 ,kiongozi wa wananchi ana miaka 47 ,amebaka huyu.Any way mama uliapa kwa shida na raha,shida ndio hizo ww subiri kifo kiwatenganishe wala usiondoke shem!
 
Davina dada take my advice seriously please najua bado unampenda mmeo right? hapa ndio iwe mwisho, kaa nae chini taratibu omba akuambie kwann alimkiss yule binti, UNAJUA inaweza kuwa pombe siku ile, MUONYE VIZURI sio kwa pupa kama kwenda kumpeleka kwa watu, hiyo itakuwa aibu yako pia. Rudisheni mapenzi yenu kwa faida ya MTOTO WENU. USIMWAMBIE MTU KABISA...Mimi nawaombea kuanzia sasa muwe na ndoa yenye REHEMA TELE heee dada yangu, UBARIKIWE SANA
 
Nenda kwa sangoma mtegeshee ile kitu ya kunasana mbona kesho tu kwisha habari yake na hatarudia tena
 
Pole sana kwa maswahibu yanayokupata katika ndoa.


Hakuna jipya chini ya jua hasa katika ndoa zetu hizi za kiafrika. Nachoweza kukushauri kaa kimya kwanza nafsi yako itulie kwanza. Baada ya hapo jipange ili ujue faida na hasara unazoweza kuzipata ukiwa mbali na mmeo kama unaweza kukidhi mahitaji yako binafsi na mwanao.


Kama si hivyo angalia ndani ya nafsi yako mmeo bado ana nafasi pamoja na mabaya yote anayokutendea? Ukipata majibu ya maswali haya unaweza kuchukua uamuzi wa kumsamehe au kujitenga naye. Maana kutoka nje ya ndoa ni jambo moja na kutembea na mpwa wake kitu kingine hata katika jamii inayokuzunguka.
 
Dawa ni kukaa kimya tu, wala usimuulize kitu, utakuwa unamuumiza kuliko maelezo
kweli kabisa we jinyamazie zako kimyaa, ni adhabu tosha, pengine siku hiyo siyo ya kwanza chunguza vizuri, nyoka ndani ya nyumba,
 
Is it true what they're sayin! Are we real dogs?
 
aisee pole sana dada! kama kwa ndugu yake ni hivyo vipi mtaani na ofisini?!
 
wewe mi siwezi kulea ujinga kama huo halafu watu wnamshauriii akae nayeye anadai kwetu mbaliii davina hii kauli yako imeniboaaa sana am sorry to say this wewe mwenyewe unajikandamiza u dont know ur value hujitambui upo upo upo tu

Inaelekea bidada katoka familia zetu za daraja la mwisho kuondoka anaona ni kupoteza almas aloikota njian,anamuona mume km mkomboz,anaogopa hali ya kwao na mume analijua hili ndo mana anajua ataafanye nin wife anamwabudu yeye na familia yake wanamtegemea!
Cha msing anatakiwa afunge macho akiangalia nyumba nzur ya mumewe na magar ya kifahar roho ikamuuma kuviacha hatakaa achukue maamuz.Ni kwel ht upande wa mumewe hamna wakumshaur sabab wanamtegemea kwa nafas aliyonayo na pesa zake ivo wanamwogopa wanamwabudia ivo ni yeye tu mkewe nae akiendekeza shida atakufa kibudu!
Pesa inampa kibur na jeur mume wa Davina, na yeye anaenjoi kuwa Mrs Mheshimiwa jina tu wakt hamna ndoa hapo!
 
Last edited by a moderator:
Hivi mama zetu wangerudi kwao,na bibi zetu makwao,na mabibi wa mama zetu hivyohivyo,ingekuwaje hadi leo hii?
 
Pole sana kaa na mmeo muyaongee matatizo na kama haitawezekana jumuisha ndugu zake,pia usiruhusu ndugu nyumbani kwenu,pia muombe mungu amsaidie
 
Wewe mme huna,lakini pia ulifanya makosa kumuruhusu mmeo kurudi nyumbani kila siku saa nne usiku wakiwa pamoja,cha kufanya amua mwenyewe
 
Hatari sn,dhakari akichukiaga huwa tunakosa akili kabisa sie wanaume.
Unaambiwa mwanaume ni mtu hatar sn dudu ikikasirika.
 
Back
Top Bottom