Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

Vikao vya ndugu, wasimamizi wa ndoa, padri, mchungaji, shehe au mtu mwingine yeyote havitakusaidia kitu zaidi ya kuharibu ndoa yako kabisa. Ni wewe na mumeo peke yenu mnaoweza kuyamaliza. Kwanza nakushauri utulie na kwa utulivu huo huo zungumza nae na kufanya maombi kwa Mungu. Jinsi utakavyokuwa mpole, mkimya na mstaarabu ndivyo utakavyouchoma moyo wake na kumfanya ajirudi. Mapenzi hayahitaji sheria wala mikataba bali yanatoka moyoni. Shetani ndiyo tatizo hapo wala sio mwili, unachotakiwa kufanya ni kushughulika na Roho zaidi na sio mwili wala akili.
 
NI KWELI SOMETIMES KUACHANA NI BEST SOLUTION. je kwenye kesi hii ya davina na mumewe, do u think divorce inahaitajika? msimponze mwenzenu
katika comment yangu ya kwanza ushauri wangu,sikumwambia aachane na mume wake.nilisema aamue maamuzi anayoyaona sahihi kwake na kwa mtoto wake.comment yangu ya 2,nimeongelea baadhi ya ndoa.machungu anayajua mwenyewe na mema anayajua mwenyewe,kwa hiyo uamuzi ni wake.
 
Tuliza moyo wako kwanza kama wiki 2 hivi halafu anza kuzungumza na mungu kwa kufunga na kusali ili upate majibu ya ndoa yako na kumfukuza ibilisi katika ndoa yako.Kumbuka siku zote hizo usizungumze naye tean kama itawezekana funga tatu kavu namaanisha bila kula kitu chochote kwa siku tatu na muda wa kusali ni sa tisa kamili alasiri hadi sa kumi na sa tisa kamili usiku hadi sa kumi.Nina uhakika lazima utapata majibu ya ndoa yako,mungu akutie nguvu "mwanamke mpumbavu huiharibu ndoa yake mwenyewe kwa mikono yake,na mwerevu huijenga kwa mikono yake"
 
Ukishaona mtu anazini na ndugu yake ujue huyo ana pepo la ngono, ikishindikana kujirekebisha we mnyime unyumba maana ukiendelea kumpa atakuletea UKIMWI alafu ushindwe kumlea mwanao.
 
Mtoto wa Shangazi ni Binamu kwa makabila mengine ingawa kwetu wengine ni mwanao anakuita mama mdogo. Hivyo ni bora kutofautisha tamaduni za baadhi ya makabila.
 
Kaizer nakuona kwa mbali unachungulia! dunia ya pili ikiumbwa inabidi tuoane mi na wewe! hakika mtoto wa shangaziyo awe adui yako! lol!
 
Last edited by a moderator:
unataka uondoke umwache peke yake? wakati unaondoka mtapishana mlangoni na huyo binamu yake! lakin kuna baadhi ya makabira hapa tanzania naskia mtoto wa shangazi au mjomba mnapeana mambo! mmeo ni kabira gani?
 
Daah pole sana dada ila kama anaenda nje sana hebu jiulize huwa unampa kale kamchezo mara kwa mara? Kama sio hebu myamalize alafu kila cku ucku hasikuletee habari za kuchoka fanyeni haswa ili akachokee nje ya ndoa na sio kwako kutoka nje kutakwisha na ukimbana mda mwingi kuwa nae kwishna! Hiyo ndo dawa kwa mtizamo wangu yakinifu...

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Pole shosti lakini kuondoka nyumbani sio dawa,mueleze mumeo nini umeona na hujapenda,na huyo mtoto Kama anawazazi waeleze wajue kwanini umemrudisha,kukuamini na kutokuamini itakua wao...na usifiche maradhi,Kama yeye mumeo Hama na vibaya kufanya hayo mbele ya nyumba yenu wewe uone vibaya ya nini kutetea ndoa yako? Usijikere nafsi yako ongea utoe joto la roho atakuua ivo huyo kwa stress sema upate kutulia nafsi yako...
 
sasa atengane nae kosa gani kafanya jamani? Ndo tatizo la watu wengine, yeye amejipa raha tu na ataendelea kufanya hivyo mpaka atakapoamua kutulia na mkewe tu. Sijaona sababu ya kutengana hapa, problem ni kwamba jamaa kayafanya hayo ndani ya mazingira ya matrimonial home. Cha msingi next time aende gesti

Umesomeka Ayanda, sababu ya kutengana ipo na asema amevumilia sana, labda umshauri njia mbadala kuliko kutengana, ingawa uzoefu wako sio mzuri sana maana ndoa si mashindano
 
hiyo ni hatari na one day atachapa hata mwanae,kwa ushauri jaribu kuzungumza nae na akiwa bado kichwa ngumu try kwa wale wazee wenu wa karibu
 
... Tatizo kubwa kabisa ni MAPENZI NI SIRI YA MTU MMOJA KAMA HAJAOA NA HATA WANANDOA KAMA MMOJA HARIDHIKI BASI UONGO UNAANZA HASA WANAUME hutoka nje....

Pole sana.... make sure UMRIDHISHE SANA NA USIMRUHUSU MUMEO AKAE NA MWANAMKE ALIYE KUA 14-& above very dangerous....

Ulikosea mumeo ampitie....
 
Mvizie akiwa amelala chujua mwiko umchape mpaka hasira zako zipungue halafu asubuhi udamkie kwa mshenga mkaweke mambo sawa
 
sasa kama janaume ni kitombist unategemea nini? Ipo siku utamkuta kwenye kifua cha dada yake wa tumbo moja ndo utapata akili
 
Samahani,kwani Huyo Mumeo Akirudi Huwa Hutoki Kumpokea?najiuliza Hayo Madakika Yooote Tangu Usikie Mumeo Kaja We Uko Chumbani Umelala!? Huoni Ww Pia Una Changia Ktk Kumpa Mwanya Mumeo Kufanya Maovu?
 
Mshirikishe Mungu

Pia we mwenyewe huenda ndio chanzo cha hayo yote, badili tabia jifunze hata kwa kusoma vitabu, mtu asiposhiba nyumbani baadhi huenda kujishibisha nje, charity begins at home so jicheki mamii
 
Usije tu ukapata ukimwi..Kapime fasta then ujikinge..Zaidi sana muombee mumeo ana mapepo ya ngono
 
Kaizer nakuona kwa mbali unachungulia! dunia ya pili ikiumbwa inabidi tuoane mi na wewe! hakika mtoto wa shangaziyo awe adui yako! lol!

Hapana shaka shemeji cacico, dunia ya pili iyaumbwa upya na nchi zitageuka 2015 tu, uistie shaka lol

Mi miss u sana shemeji......umenionea wapi snowhite?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom