Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

Nilichokishuhudia mume wangu akifanya siamini

Unaomba ushauri wakati umeshachukua hatua. Hatua ulizochukua zinatosha
 
kuna sory moja,kuna mama mmoja,alikuwa mtu wa kanisa,anamuomba mungu kwa kila kitu.mume akawa ana cheat kwa kuibia ibia.mke alikuwa hajui kinachoendelea.siku ya siku,mume kapata ukimwi,akawa anajilia dawa kwa siri,mke hajui kitu.condom hapo haitumiki.mume ana afya tele.siku mke kaumwa,mume alivyokuwa mjanja,akamtaftia dawa kwenye duka la madawa na akamwambia muombe mungu utapoa tu.kumbe yule bwana alikuwa hataki mke wake aende hospitali.baada ya muda mke akaumwa tena,yule bwana maneno yake hayo hayo.ndugu wakamfata kwake wakamchukua mke kwa nguvu na kumpeleka hospitali.ikagundulikana maeathirika.yule mke hakupata nafuu tena,baada ya kama mwaka akafa.baade mume akasema kuwa yeye alikuwa anatumia dawa.mfano tu huo,sometimes shock inaua.na mambo ya kuficha huwa hayafai.na kwa wanaume jamani tulizaneni.na hata unajijua unao,be honest kwa partner wako,kwani siku ya siku,siri itajulikana tu.huyo mama ameacha watoto 3,wote under 10
 
huu ni uongo,maybe unaowafahamu wewe.wapo ambao walivumilia,na wakaambulia ukimwi.na inachosikitisha.mara nyingi mke hufa mwanzo.uamuzi ni wake,ila sometimes kuna ndoa nyengine,kuachana ni best solution.nimeshangaa kweli na comment yako.

NI KWELI SOMETIMES KUACHANA NI BEST SOLUTION. je kwenye kesi hii ya davina na mumewe, do u think divorce inahaitajika? msimponze mwenzenu
 
Nakushauri fatilia na angalia Emmanuel TV! I believe upata peace of mind na kama mmeo atafuatilia will obviously change!
 
mmmh! naogopa nikisema msimamo wangu katika hili nitaumiza watu ngoja nikae kimya.

mwalimu sikubaliani na wewe, huwa napenda ushauri wako hapa. Kuna watu wanadhani ndoa ni straight line hivyo kuikimbilia bila kujipanga. Mume anatakiwa ajue umejua uhuni wake na unamkomalia na mwisho nafsi itamsuta na kurudi kawaida. Ukikimbia ndo kwanza unamwachia uhuru.
 
lets discuss the contents my status haimsaidiii mleta mada

mleta mada angepeleka mada hii kwa walio kwenye ndoa zao ingesaidia na sio kwa masingles ambao wao huwaza kusepa tu.
 
Usiondoke, cha kufanya jipe muda mwingi wa kwenda sehemu unazopendelea kupata stahehe zako, kakae huko na mtu unaemwamini ni rafiki ako au dada yako, jipe raha ondoa mawazo, Mungu hajatuumba kuteseka, unafanya business tumia hela zako kajipe raha. Pia mweleze mama mzazi wa huyo binti!hilo li mume lako ushasema ni libishi sina la kukushauri maana minitu mibishi naijua na siipendi MNOOOO!Pole mwaya.
 
Nakubaliana nawe..na reason ni kwamba mtu mwenye HIV akiwa anatumia ARVs, viral load (kiasi cha virus mwilini mwake) kinapungua sana hata sometimes ukipima viral load inakuwa 'negligible'..huyu sasa kama ni mwanamke chances za kuambukiza mwanaume ni ndogo. Na hii ni kwa sababu mwanaume uambukizwa wakati uume unapokuwa ukeni hasa kama umechubuka kidogo kutokana na jigy-jigy...na kwa kuwa ngozi ya uume ni ngumu kuliko ngozi ya uke...ni vigumu kidogo kuchubuka.

Ila kama mwanaume ndio ana HIV...ni rahisi kumuambukiza mwanamke hata akiwa kwenye ARVs...na hii is more of 'logic'..uume uma ngozi ngumu na una nguvu, hivyo ni rahisi kuchubua ngozi laini ya uke..pili manii/shahawa ambazo ndio zinabeba hao virus zinamwagwa ukeni na zinaachwa huko baada ya tendo. So virus wana muda wa kutosha kutafuta sehemu dhahifu ya ngozi ya uke na kupenya na kuinfect mwanamke.

thanks doc.
ok twende kwenye swali jingine but kabla naomba unisamehe tu kwakuwa very disturbibg today. kuna jambo ambalo nimegundua viral load inapokuwa ndogo kimsingi humfanya mtu kuwa na afya njema zaid kuliko wenye viral load kubwa.

lakini nilichogundua ni kwamba wenye viral load ndogo hawako responsive kwenye dawa as walivyo wenye viral load kubwa.lakini pia mtu mwenye CD4/CD8 1.7 kama ataacha kabisa mambo ya ngono akala vizuri, na kupumzika huwa na more chance ya kuwa na undefined results unapopima 1mn ya damu. na nilishangaa hasa pale ambapo mtu huyu akiwa na vijidudu chini ya 15 kwenye hii 1mn ya damu basi majibu yake hayasomeki yaani viral load nakwambia undefined lkn sio kwamba NI -VE.

kwa majibu haya ambayo niliyapata niliogopa sana nikasema usikute huku mtaani watu wanaambiana nimepona kumbe ni kwamba viral load iko chini tu. na pia hata hawa wanaosema wanatibu ukimwi wasiwe wana rely na haya majibu ambayo ni mpaka mtu uwe na utaalam nayo. anyways i think madaktari mnatakiwa mu adress hii ishu kwa clients wenu.

mwenye uzi nisamehe kwa uchakachuzi wa uzi.
 
Dizain kama shemeji yangu huyu!!ngoja niendelee kusoma nitapata jibu!! duu i wish nijue mnakaa wapi ningecofirm!
 
Ukiondoka umeharibu, nakushauri baki na mzigo wako tu, ukimuacha huku mjini atatumalizia wenetu......please mhusishe MUNGU kwenye matatizo yako, sali na uamini
 
Hivi kuna kiongozi wa nchi hii asokuwa na chembechembe za ufataki??mi naona kbs hata ukiongea,ukijigalagaza na hata ukimwitia watu sioni kama atabadilika kwani ashakua addicted

Jifunze maisha ya kumuignore,live your life ingawa mtakua nyumba moja life is too short for you to loose both..goodlife and husband..ishi nae kama vile umepanga kwake chop his money kwa sana unajenga na kufungua miradi yako pamoja na kujiweka fresh zaid ya enzi za usichana wako

Show him how smart you are and kill him with jeoulosy pale atakapoona huna mda na upuuz wake but instead ur doing better day after day kama ana akili za kuzaliwa kidogo itafika mda atajiona mjinga na kama sio hivyo hana mda atapukutishwa na UKIMWI akuache unajilia mema ya nchi
 
thanks doc.
ok twende kwenye swali jingine but kabla naomba unisamehe tu kwakuwa very disturbibg today. kuna jambo ambalo nimegundua viral load inapokuwa ndogo kimsingi humfanya mtu kuwa na afya njema zaid kuliko wenye viral load kubwa.

lakini nilichogundua ni kwamba wenye viral load ndogo hawako responsive kwenye dawa as walivyo wenye viral load kubwa.lakini pia mtu mwenye CD4/CD8 1.7 kama ataacha kabisa mambo ya ngono akala vizuri, na kupumzika huwa na more chance ya kuwa na undefined results unapopima 1mn ya damu. na nilishangaa hasa pale ambapo mtu huyu akiwa na vijidudu chini ya 15 kwenye hii 1mn ya damu basi majibu yake hayasomeki yaani viral load nakwambia undefined lkn sio kwamba NI -VE.

kwa majibu haya ambayo niliyapata niliogopa sana nikasema usikute huku mtaani watu wanaambiana nimepona kumbe ni kwamba viral load iko chini tu. na pia hata hawa wanaosema wanatibu ukimwi wasiwe wana rely na haya majibu ambayo ni mpaka mtu uwe na utaalam nayo. anyways i think madaktari mnatakiwa mu adress hii ishu kwa clients wenu.

mwenye uzi nisamehe kwa uchakachuzi wa uzi.

Ni kweli gfsonwin...kipimo cha viral load kinaestimate wingi wa virus kwenye damu (copies of viral RNA present in the blood), hakisemi +ve or -ve for HIV infection. Test zinazotoa majibu ya +ve au -ve zinatest antibodies ambazo mwili unaproduce against HIV. Sasa kama mgonjwa yuko kwenye ARVs na anarespond vizuri, inamaana virus wanapungua kwenye damu yake to the extent hiyo test haiwezi kudetect...ndio yanakuja majibu ya 'undefined', but still...mginjwa huyo akipimwa kwa kipimo cha antibodies (eg Determine) atakuwa +ve.

Kwa hiyo kama mtu ni +ve for HIV, lakini akatumia dawa na viral load ni 'undefined'...haina maana amepona, kuna reservoir nyingine za virus (mfano kende, shahawa) ambazo hao virus hawawezi kuwa detected kwani hawako kwenye damu. Unapoongea na clients ni muhimu kuwafahamisha hayo.
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi wa wananchi..... Mbunge au diwani? Kazi unayo bibie

Sijui kama tabia yake inaweza kubadilika, ila jaribu kuwashirikisha wazazi wake uone watakushauri nini, vinginevyo mmmh, pole mamii
 
Jamani na virusi je? nani ataviignore

Hivi kuna kiongozi wa nchi hii asokuwa na chembechembe za ufataki??mi naona kbs hata ukiongea,ukijigalagaza na hata ukimwitia watu sioni kama atabadilika kwani ashakua addicted

Jifunze maisha ya kumuignore,live your life ingawa mtakua nyumba moja life is too short for you to loose both..goodlife and husband..ishi nae kama vile umepanga kwake chop his money kwa sana unajenga na kufungua miradi yako pamoja na kujiweka fresh zaid ya enzi za usichana wako

Show him how smart you are and kill him with jeoulosy pale atakapoona huna mda na upuuz wake but instead ur doing better day after day kama ana akili za kuzaliwa kidogo itafika mda atajiona mjinga na kama sio hivyo hana mda atapukutishwa na UKIMWI akuache unajilia mema ya nchi
 
Well ukimkimbia shetani maanake unampa uhuru na ushindi wa kukutawala mtoto akiaribu kitu si unamchapa anajua kua ni kosa mtuzima akikosea unamuabisha hata rudia na hata sahau ikitokea hasahau basi hatarudia muangushie tifu la nguvu hata isahau hiyo cku na atakoma ukimlegezea unalialia kila cku atazidi najibu la kichwa lake bovu litakua "atanifanya nini??? C atalia alafu basi" sawa mama huo msalaba ni wako mama ukicheka nao utakuua mengi ni pm nitakusaidia zaidi
 
Ni kweli gfsonwin...kipimo cha viral load kinaestimate wingi wa virus kwenye damu (copies of viral RNA present in the blood), hakisemi +ve or -ve for HIV infection. Test zinazotoa majibu ya +ve au -ve zinatest antibodies ambazo mwili unaproduce against HIV. Sasa kama mgonjwa yuko kwenye ARVs na anarespond vizuri, inamaana virus wanapungua kwenye damu yake to the extent hiyo test haiwezi kudetect...ndio yanakuja majibu ya 'undefined', but still...mginjwa huyo akipimwa kwa kipimo cha antibodies (eg Determine) atakuwa +ve.

Kwa hiyo kama mtu ni +ve for HIV, lakini akatumia dawa na viral load ni 'undefined'...haina maana amepona, kuna reservoir nyingine za virus (mfano kende, shahawa) ambazo hao virus hawawezi kuwa detected kwani hawako kwenye damu. Unapoongea na clients ni muhimu kuwafahamisha hayo.

thanks kwa kufundisha maswali yangu mengine nitakuuliza baadae namwogopa mwenye uzi asichukie kwa kumchakachulia uzi.

hapo bold natamani ningekuwa nakutana na watu niwafundishe lkn mm huwa nakutana na haya makitu kwenye research tu kwenye miradi ya afya.
 
Back
Top Bottom