Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,346
Mie baba yangu alikuwa kiraka aisee ila hajawahi mshusha maza dhamaniSina experience maah thamani yamtu mwenyew ndo unatengeneza
@Deepond mchepukaji high class lkni sijawahi sikia Uzi wa kumshusha thamni mkewe
Kwa wengine kama wako hivo wajirekebishe Sio jambo jemq


