Atukuzwaye
Member
- Oct 5, 2026
- 57
- 50
Kuna wazazi wanaotengana na baada ya hapo baba anakataa kuchangia mahitaji ya mtoto, akimuachia mama jukumu lote la chakula, ada, mavazi na matibabu.
Lakini kwa mujibu wa Kifungu cha 129 cha Law of Marriage Act, baba ana wajibu wa kutunza mtoto hata kama mtoto anaishi na mtu mwingine. Kifungu cha 130 pia kinaipa mahakama mamlaka ya kuamuru matunzo pale mzazi anaposhindwa kutimiza wajibu huo.
Sheria ya Mtoto pia inaeleza wajibu wa mzazi kuchangia ustawi na matunzo ya mtoto, pamoja na utaratibu wa kuomba amri ya matunzo mahakamani.