Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,702
- 35,756
Umezoea vita ya tambarare...ya mlimani huwez tia maguuYeye kazoea nyumba inazungukwa na majabali na matumbawe...
Umezoea vita ya tambarare...ya mlimani huwez tia maguuYeye kazoea nyumba inazungukwa na majabali na matumbawe...
Zile ni hatari tupu.
Hizi tu za kawaida Arusha kuziona Mwanza ni kama almasi.
![]()
![]()
![]()
Mi nakunyuka tuuu...mwanza hii..hayo mapagale yenu ya kawaida sana pande hzi![]()
![]()
![]()
Nyumba za kawaida hizi hata mitaa ya changanyikeni unazikuta za kumwaga Arusha.
Utaliii si ndo nguzo yenu....ukidorola kidogo tu mahotel yote yanageuka nyumba za popo na mengne mnatembeza bakuli...kama sa hv...issue ya wazungu hata zooo wapo nyomiUtalii Wa Arusha sio wa wageni watatu Arusha group moja unaweza kukuta wageni 50 hilo ni group moja labda college au school au company sometimes pale clock tower unaweza kukuta idadi ya wazungu imezidi idadi ya wenyeji pia wageni wanaoamua kubaki Arusha kama permanent residing unaweza kukuta ndio idadi ya watalii waliofika mwanza mfululizo wa miaka mitatu.
Kipindi cha high season watu wanageuza nyumba zao lodge na wanapokea watalii wakutosha ukitaka picha nakupa.
Hujui mitaa ya mwanza wewee...umezoea chuga...ukizunguka nyuma ya mtaa mji unakatika....zunguka mji mzima uone viwanja vinafungwa sa ngap...Instagram party daily zinamiminika mwanza...huko chuga nan apeleke..watu wakitabasam utadhan chungu cha bibi...viroba, bangi na ushamba ndo vimejaaMwanza pa ovyo sana. Saa tatu tu usiku ukiwa town kama ujala ujue unaweza lala na njaa,cz hata chips huwezi pata.
Halafu kuna kaeneo kao kamoja kanaitwa Salma koni,yani kila msukuma anapasifia. Kabla sijafika mwanza nilikuwa nasikia habari za Salma koni, nifikiri ni bonge la sehemu pa kujiachia. Kuja kufika, sikutamani tena kurudi. Papo local sanaa..
Unajua maana ya mall au unakurupuka na min supermarket?Hahaaaa kweli wewe ndio bwege hujijui.....iko sable mall kisongo,TFA,njiro complex
Hakuna cha ushamba...tupia ma vitu uonekane mjanja we nguruwe pori wa kimasai usiyejua kupiga mswakiVipi kuhusu mwanza kiongoz...zipo zipo ngapi...maan hapa ligi kubwa n kati ya mwanza na arusha...dar iweke pembeni...!
Tupia mavitu we black mamba...acha kulia lia na mtepesho wa viroba...dhibitisha hoja yako mbwa wa kimasai usiyejua kupiga mswakiMara ya mwisho kufika chuga. na gari la dagaa. Ni lini weww msukumaaaa,,, mshambaaa
Hzo ndo picha za mall Tatu zilizopo chuga...we kiroboto vip? Aim mall mlidai inapiga kazi.. Nikawambia hyo ipo u/c... sa hvi unajirud....chuga naifahamu kuliko hata wewe nyumbu wa sekei...tupia picha za mall Tatu zilizopo chuga kama hujaweja moja na zingine min supermarketAim mall,,, under construction near TANAPA HQ
Huu ni mchoro...means bado haipo
Umedai kuna traffic light sita hapo city...nimewambia tupien picha za traffic light NNE ukitoa za sanawali na mianzinJamaa hata hafaham arusha kuna traffic lights ngap lakn anakuja kuleta ligi humu ndani...!
Tulia nikunyuke tena we kengeWanakuja na malori ya Dagaa alafu akiona nyumba imezungukwa na garden anasema hapo ni porini mawe yameshamuathiri psychology kule hamna hata mahali pa kuwekea kopo la maua na utamaduni wa kutengeneza gardens hawana kabisa.
Tulia nikunyuke tena we kengeWanakuja na malori ya Dagaa alafu akiona nyumba imezungukwa na garden anasema hapo ni porini mawe yameshamuathiri psychology kule hamna hata mahali pa kuwekea kopo la maua na utamaduni wa kutengeneza gardens hawana kabisa.
Zpo nyingi kama uyoga...sample ni hii hapa isamilo international school...mwanao hawezi ungua meno hapaHivi mwanza wana International school (simaanishi English medium maana mangosha wanaita English medium international) namaanisha zile shule ada ni Mil 10 mpka 20 kwa mwaka...
Mkuu chongchung hebu nisaidie labda wanazo huko Mwanza
Zipo nyingi kama uyoga...hii hapa ni isamilo int school...mwanao atajipatia elimu na meno yatabaki meupeeee..tabasamu lenye furaha keep itKwa kweli sijafanikiwa bado kuziona naona international zao ni alliance na nyakahoja na st.Mary's ila ukiziangalia ni kama magereza ya butimba au maromboso Mkuu.
Mpe nauli aende akapige hzo picha alete jukwaani af ukumbuke pia wazungu wanadoubt why Genever of Africa inakuwa na nyumba kama mashimo ya panya with miserable life kama hzi katkat ya mji...hapa ni ungalimitedMkuu ungefanya uungwana upande pale Ngarasero Lodge ukamate photo 2, 3 uwaekee hawa raia wajue kwanini Arusha iliitwa Geneva of Africa..
Alivyo mshamba anadai hizo ni mall tatu zilizopo chuga....kweli wajanja was chuga wote wamehamia Dsm...yaliyobak yote ni manunga embeHaya majengo ya wahindi ..wewe mbongo wa kawaida yanakusaidia nini.unakaa mitaa ya arusha kwa asilimia 98 haina barabara ni vijinjia vidogo vilivyojaa vumbi hata gari mbili haziwezi pishana..ukinunu kiji.plot kwa waarusha ndo wanakuuzia na kijinjia ..umaskini wa akili na mazingira bora hata mikoa kama Mara,morogoro etc mitaa imepangika barabara hata magari yanapishana....
Hahaaaa hapo ndo city center....bas arusha inatakiwa iwe makumbusho town and not a cityNa kweli hapa nikikuambia ni katikati ya mji unaweza usiamini
View attachment 405633
Okey sasa tupia view ya chuga ionekane hvi hata kama Ina diffrnt design....sio kutuonesha msitu na kigorofa kimoja kwa mbele Af unadai ni recreation ground...kwanza chuga hata maeneo ya waz hayapo...kama yapo tupia picha even public garden hakuna![]()
![]()
Hiyo ni New York recreation center au City Park usifikiri wamepaacha hivyo sababu wamekosa kitu cha kujenga hapo.
Hat ya usafi umebahatisha mwka jana tuuu we mbururaa....umezunguka 9times ukionekana mchafu mbele ya mwanza hata hvyo huo utumbo wako huwez linganisha na mji kama huuUsafi ndio jadi yetu....bara bara safi km mbele yan...!View attachment 405649View attachment 405650View attachment 405651View attachment 405652View attachment 405653View attachment 405654View attachment 405655View attachment 405656
Arusha hakuna five star hotel kwa sasa....parrot ndo inarate kwenye 5 na yenyewe haijaanza kupiga mzigo na kama imeanza bas haina hata sku 15...hata hvyo bado inadumbukia kwenye 4 star kwa viwango internationally....dar ndo kuna 5 star na zenyewe sidhan kama znafka hata tano ....kama unabisha shusha data...sio kuongea tuu..Msukumaaa anatishia sanamu la samaki,,,, dah kweli wako nyuma kimaendeleo,,, ukiwaambia wakutajie five star hotel mwanza cjui kama zitafika tano