Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Msukumaaa anatishia sanamu la samaki,,,, dah kweli wako nyuma kimaendeleo,,, ukiwaambia wakutajie five star hotel mwanza cjui kama zitafika tano
 
Tano au hata 1?

IPO ya nssf imeshatafuna miaka so chini ya 7 haiishi hiyo ndio itakua 5 star ya kwanza Mwanza hizo nyingine ni kama corner bar tu.
 
images
images

Hiyo ni New York recreation center au City Park usifikiri wamepaacha hivyo sababu wamekosa kitu cha kujenga hapo.
Arusha ni kijijini mkuu ukitoka kidogo sanawari vumbi tupu uswahilini hakuna mji huko bora hata Dodoma kuzuro
 
Tano au hata 1?

IPO ya nssf imeshatafuna miaka so chini ya 7 haiishi hiyo ndio itakua 5 star ya kwanza Mwanza hizo nyingine ni kama corner bar tu.
Unaijua Gold Crest ya Mwanza? Ni five Star Arusha ni Ngurdoto tu hakuna nyingine
 
Unajua criterion za 5 star au unaangalia ukubwa Wa jengo tu kwanza ujue lile jengo lina office kibao kama TIB Bank Vodacom NMB Bank PPF na Shops na office nyingi hivyo ukiliona vile sio lote ni hotel

kama Impala hotel Naura Spring Palace Hotel Kibo Palace New Arusha Hotel East African All Suit Hotel Corridor Spring Hotel Parrot Hotel few to mention ambayo ni majengo makubwa kuliko Gold Crest ambapo sidhani hats kama kuna vyumba 25.
 
Sanawari IPI ina vumbi???

Eti Dodoma. Dodona ipo hivi
images
Arusha hakuna barabara ya hivyo acha uongo dogo...Sanawari vumbi tupu ukishakata kona hapa kwenye mataa mpaka mianzini ni uswahilini vumbi tupu nyumba ziko vichochoroni...ki ufupi Arusha hakuna plani ya mji kuko local sana ukitembea dakika mbili kutoka katikati ya mji unaingia vichochoroni matejoo..unga ltd..kwa mromboo....kijenge kote huko ni uswahilin vichochoroni kumejaa vibaka tu
 
Unajua criterion za 5 star au unaangalia ukubwa Wa jengo tu kwanza ujue lile jengo lina office kibao kama TIB Bank Vodacom NMB Bank PPF na Shops na office nyingi hivyo ukiliona vile sio lote ni hotel

kama Impala hotel Naura Spring Palace Hotel Kibo Palace New Arusha Hotel East African All Suit Hotel Corridor Spring Hotel Parrot Hotel few to mention ambayo ni majengo makubwa kuliko Gold Crest ambapo sidhani hats kama kuna vyumba 35.
Arusha hakuna double road jiji gani hilo bora hata Iringa kuna double road mji wote umejaa barabara za uchochoro
 
Arusha hakuna barabara ya hivyo acha uongo dogo...Sanawari vumbi tupu ukishakata kona hapa kwenye mataa mpaka mianzini ni uswahilini vumbi tupu nyumba ziko vichochoroni...ki ufupi Arusha hakuna plani ya mji kuko local sana ukitembea dakika mbili kutoka katikati ya mji unaingia vichochoroni matejoo..unga ltd..kwa mromboo....kijenge kote huko ni uswahilin vichochoroni kumejaa vibaka tu
Lofa kabisa wewe hiyo barabara ipo Arusha tena imeshakamilika kwa baadhi ya maeneo unafananisha Arusha na huo uchafu shukuruni UDOM mji umekaa kishamba vinyumba vya tope havina hata bati juu ya paa la nyumba mnalima mahindi na mtama.
 
Aisee hii ni league ya Arusha na Mwanza wewe wa Dodoma Tafadhali muone Katavi au Songwe.
 
Lofa kabisa wewe hiyo barabara ipo Arusha tena imeshakamilika kwa baadhi ya maeneo unafananisha Arusha na huo uchafu shukuruni UDOM mji umekaa kishamba vinyumba vya tope havina hata bati juu ya paa la nyumba mnalima mahindi na mtama.
Sema double road iko wapi hapo Arusha? Hujitambui wewe Arusha ni kijijin
 
Back
Top Bottom