Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Sema double road iko wapi hapo Arusha? Hujitambui wewe Arusha ni kijijin
Sio double road tu ni flyover wewe lofa papa
road06.jpg
 
Tatizo wakija Arusha wanaishia Stand na Unga Limi
Kama ningekuwa baba jessy, cha kwanza kabisa baada ya kuingia ikulu ya magogoni, immediately ningetangaza Arusha ndio mji mkuu wa tz.
 
Arusha barabara zikikamilika itatisha sana. Itabaki kuzidiwa population tu na Mwanza.
Kweli hii ya Arusha-Holili na Arusha bypass ambazo zipo kwenye kasi zitabadilisha taswira ya jiji na zimeshaanza kubadilisha.
 
●●●HAHAHAHA....!!!!●●●

Wewe bado hujaifahamu Arusha hata kidogo. Ukiwa Arusha kama ni starehe utaenjoy hivi vyoote vifuatavyo:-

1) Climatic Condition:

Kanda ya kaskazini kwa ujumla climate yake ni nzuri sana especcially Arusha na Kilimanjaro.

2) Good & Executive Hotels,

Hotel zote kubwa za Arusha ni za 5 * na zipo za kutosha

3) Misosi, Nyamachoma, All fast foods mpaka vyakula vya asili ya kimasai na kichagga.

Kumbuka: wachoma nyama wazuri wanatokea huku na sio wale wa Dsm wanaobabua nyama kama mahindi ya kuchoma.

4) Arusha ipo karibu sana na Airports 3, yaani KIA, JKIA na mdogo wa Kisongo.

5) Swimming pools za hadhi nzuri sana

6) RALLY & Horse Ridding Je?

zipo karibu kiiila mara na maeneo yaliyotengwa kwaajili hiyo.

7) Really National Parks

ie. Ngorongoro, Manyara, Arusha National Parks, Tarangire.

8) Mt. Meru Je?

Kumbuka: after Kilimanjaro Mt. inafuata Mt. Meru na ina barafu throughout

9) Uoto wa Asili je?

Huko Olmotonyi Forest unapajua?

10) Water falls je?

Kuanzia Duluti juu, Meru na Ilboru juu zipo

11) Bar & Night Clubs Je?

Club D, Masai Camp, Apex, Babylon, Via Via.


12) Mito na Mabonde je?


13) HipHop Musics Je?

Unawajua hawa?

-Watengwa?
-Weusi?
-Nako2Nako
-Juniour Nakoz


Sasa umeifahamu Arusha? Usiishie Stand Mgeni. Karibu....

●ILA WARNING:
Ukitaka kuijua Arusha uwe na PESA.
Umeelezea jiji la Arusha ama Mkoa wa Arusha?
 
Back
Top Bottom