Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Tano au hata 1?

IPO ya nssf imeshatafuna miaka so chini ya 7 haiishi hiyo ndio itakua 5 star ya kwanza Mwanza hizo nyingine ni kama corner bar tu.

Acha kuropoka bila uchunguzi

Onyesha five star hotel kwa chuga...zaid ya parrot ambayo hata hvyo na yenyewe inazungukia kwenye four hata mzigo hsijaanza kupiga fresh....NSSF walianza kujenga five star hotel mwanza mwaka 2014 sa hv wanamalizia finishing
Kama unabisha pitia hii link
MICHUZI BLOG: NSSF KUTUMIA BIL. 72.8 KUJENGA HOTELI YA NYOTA TANO MWANZA

Unajua criterion za 5 star au unaangalia ukubwa Wa jengo tu kwanza ujue lile jengo lina office kibao kama TIB Bank Vodacom NMB Bank PPF na Shops na office nyingi hivyo ukiliona vile sio lote ni hotel

kama Impala hotel Naura Spring Palace Hotel Kibo Palace New Arusha Hotel East African All Suit Hotel Corridor Spring Hotel Parrot Hotel few to mention ambayo ni majengo makubwa kuliko Gold Crest ambapo sidhani hats kama kuna vyumba 25.
Gold crest Ina vyumba zaid ya 50, hotel za chuga zote ulizoweka hapo hakuna five star hotel l
Sm hw parrot...na yenyewe haipo verified
 
Arusha hakuna five star hotel kwa sasa....parrot ndo inarate kwenye 5 na yenyewe haijaanza kupiga mzigo na kama imeanza bas haina hata sku 15...hata hvyo bado inadumbukia kwenye 4 star kwa viwango internationally....dar ndo kuna 5 star na zenyewe sidhan kama znafka hata tano ....kama unabisha shusha data...sio kuongea tuu..

had sasa hakuna five star hotel iliyo nje ya dar Na Zanzibar pamoja Na isle ya Serengeti Mara.
uko sahihi kabisa.

Na Kuna Tofutti kati ya mall, shopping centre,
 
Kama ningekuwa baba jessy, cha kwanza kabisa baada ya kuingia ikulu ya magogoni, immediately ningetangaza Arusha ndio mji mkuu wa tz.
Nan akaozeshe meno watoto kule wewe...acha tu iendelee kuwa sehemu ya wazungu kushangaa ngedere
 
Na kupeleka mradi wa Five Star Hotel Mwanza ni kupoteza pesa..NSSF wamekula hasara kama walivyokula PSPF na Rock City Mall...
Wewe kiroboto hata hujitambui...Nssf walianza mwanza ndo wakaenda chuga, ppf walianza mwanza ndo wakaenda chuga, lapf walianza mwanza ndo wakaenda chuga, nssf wamerud tena kwenye hotel kama wangepigwa hasara wasingerudi..ppf nao wanarudi soon kwenye massive building, huwez fananisha commercial city na jiji linalotegemea uwepo wa nyumbu na swala...shame on u
 
Wanakuja na malori ya Dagaa alafu akiona nyumba imezungukwa na garden anasema hapo ni porini mawe yameshamuathiri psychology kule hamna hata mahali pa kuwekea kopo la maua na utamaduni wa kutengeneza gardens hawana kabisa.
Mi nakutia bakora tuu, kamata zingine hzo tano za nguvu

1474672399476.jpg
1474672408177.jpg
1474672437029.jpg
1474672457279.jpg
 
Hv chuga kuna hospital ya maana ya kuzidi hata ile ya wasabato ya pasiansi? Hebu watu wa chuga mdhitishe hilo...sorry kama mna dispensary
 
Gold crest Ina vyumba zaid ya 50, hotel za chuga zote ulizoweka hapo hakuna five star hotel l
Sm hw parrot...na yenyewe haipo verified
Mwenzako anasema 80 wewe 50 mpaka hapo hamjielewi wote havifiki hata 35.
 
Hv chuga kuna hospital ya maana ya kuzidi hata ile ya wasabato ya pasiansi? Hebu watu wa chuga mdhitishe hilo...sorry kama mna dispensary
Huijui hata selian....hebu tuelez kwanza we arusha ulifka mwaka gani na hilo lori la dagaa...!hii n selian ambay wenzako wa mwanza wanaitambua vzur..!
1474693889175.jpg
 
Acha kuropoka bila uchunguzi

Onyesha five star hotel kwa chuga...zaid ya parrot ambayo hata hvyo na yenyewe inazungukia kwenye four hata mzigo hsijaanza kupiga fresh....NSSF walianza kujenga five star hotel mwanza mwaka 2014 sa hv wanamalizia finishing
Kama unabisha pitia hii link
MICHUZI BLOG: NSSF KUTUMIA BIL. 72.8 KUJENGA HOTELI YA NYOTA TANO MWANZA

Onyesha five star hotel kwa chuga...zaid ya parrot ambayo hata hvyo na yenyewe inazungukia kwenye four hata mzigo hsijaanza kupiga fresh....NSSF walianza kujenga five star hotel mwanza mwaka 2014 sa hv wanamalizia finishing
MICHUZI BLOG: Profesa Tibaijuka azindua hoteli ya Nyota tano jijini Arusha

Alisema mkakati huo utaufanya mkoa wa Arusha ambao ni kitovu cha utalii kuzidi kuongeza idadi ya vitanda vya kisasa kulala wageni ambapo kwa sasa ina vitanda 2,800 tu nyuma ya mkoa wa Dar es salaam wenye vitanda 3,800 na kuzidi mkoa wa Mwanza wenye vitanda 900 licha ya ukubwa wake. Lazaro Nyalandu 2015.

Na mpaka December 2016 tayari kuna hotel kama 5 kubwa zitazinduliwa.

Kwa namba hiyo ya vitanda tu gape la vitanda 1900 level yenu ni Singida au Tabora Arusha watawapita Dar within several months.

Ikumbukwe population (jiji)

Dar - million 5.7
Mwanza - million 3.6
Arusha - < 500,000

Ukizingatia hapo Arusha ndio mbabe.
 
Unajua maana ya recreation centers??
Au city parks??
Master plan ya Kigamboni na ya satellite cities yoyote ile haijawa qualified bila kuwa na recreation centers.

Na jamaa ameielezea correctly kabisa kwamba they are acting like the lungs of the city.

Kweli kabisa,hivyo vitu ni muhimu sana kwa ustawi wa mji/miji,ndo maana nchi zilizopiga hatua kimaendeleo ni mambo wanayoyapa kipaumbele sana kwa afya za watu wake na pia kwa mandhari nzuri ya mji.
 
Back
Top Bottom